Umemchoka mwanaume omba talaka

Umemchoka mwanaume omba talaka

It's not something to be proud of but it's nature, it social norms and structures zenye foundation za zaidi ya miaka 2000 iliyopita
Kuna kipindi mwanamke unabidi ukubali kwamba mwanaume is a sexual overactive being. Yani tunaweza kusema ata asilimia 50%ya mawazo ya mwanaume ni sex
Hata mengi (rip) aliyekuwa boss very busy all the time, amegegeda sana mabinti sembuse mtu anayetoka kazini saa 11jioni
Biologically, historically, culturally, religiously tu naona wanaume wamekuwa na wapenzi wengi, wa nalala paka na vijakazi wao(kidini kuna baba wa imani Abraham, Solomon, Mohamed hawa wote wali lala paka na vijakazi)
Ukienda kwenye historia medieval Europe unaona wanaume walikuwa na wake na nyumba ndogo huku kwetu kwenye mila na historia zetu ni hivyo hivyo ila hamna mwanamke mwenye waume wengi.
Kibaiolojia mwanaume ameumbwa kwa procreation zaidi ndo maana anatengeneza mamilioni ya mbegu/sperms kila siku paka kifo chake ila mwanamke anatoa yai mara moja kwa mwez na inakata akifika menopause 40 to 50yrs, Mwanaume hata ukimpa penzi asubuhi akipishana na mwanamke mwenye umbo la mvuto barabarani atapata nyege tena.
Sasa sijui haya mapenz ya kizungu ya kuwa na mwanamke mmoja milele ya kwenye movie tulifundishwa na nani.
Ndo maana ndoa za wazazi wetu zili last cause wanawake wengi walikubali the hard truth that a man will hardly be satisfied with one woman.
Sio kwamba natetea wanaume tuwe vicheche hapana, nasema wanawake muwaze kwa logic na sio kihisia, mwanaume wako akikucheat sio kwamba hakupendi, humrizishi au hakuthamini, jua ameteleza tu, kuto kucheat ni unnatural kwake anajilazimisha mwili wake, roho yake na mawazo yake yote yanamwambia alale na kila mwanamke mzuri anayemuona ila anatumia mental strength kuto fanya hivyo atakapo teleza we msamehe ilimradi anakuheshimu na kujali familia(na hivi ndivyo wa mama walivyoweza kuwalea ndani ya ndoa miaka yote hiyo kwa taarifa yenu.)
Mwanaume aliyekamilika idara zote, mtanashati,mwerevu, jasili, na ana mali ata cheat tu wachache sana labda 5-10% ndo hawatocheat (angalia wanaume wenye mali na nguvu wa sasa na kwenye vitabu vya historia hata vya dini ndio wanaongoza kuwa na wanawake wengi)
Is that something to be proud of? Mxiiieewww
 
Ndo maana mna msemo wenu nasikia sana sikuhizi, kwamba mwanamke kumuacha mwanaume kisa ame cheat ni sawa na kuhama nchi kisa inanyesha mvua.
It rains everywhere darling.
 
Umeandika as if wanaume hawachepuki kabisa

Hebu acha kuegemea upande mmoja basi....wanaume wanachepuka zaidi ya wanawake!

Tena siku hizi ndio wameanza kuona kama ni haki yao kumiliki mchepuko

Hata sisi hatupendi unafki​
shida sio mwanaume kuchepuka pia, ni kweli wanaume tunachepuka ila hatuendi na hisia zetu huko wala mapenzi bali ni TAMAA tu, sasa mwanamke akichepuka anaenda na UPENDO na HISIA. akishaenda huko haichukui hata wiki mumewe kugundua maana kahamisha kila kitu. amini nakuambia kama mtu ana mke wake akachepuka baada ya tendo hua hana amani na hua anahisi amekosea sana ambapoa kwa wanawake ni mara chache kua hivyo.
 
It's not something to be proud of but it's nature, it social norms and structures zenye foundation za zaidi ya miaka 2000 iliyopita
Kuna kipindi mwanamke unabidi ukubali kwamba mwanaume is a sexual overactive being. Yani tunaweza kusema ata asilimia 50%ya mawazo ya mwanaume ni sex
Hata mengi (rip) aliyekuwa boss very busy all the time, amegegeda sana mabinti sembuse mtu anayetoka kazini saa 11jioni
Biologically, historically, culturally, religiously tu naona wanaume wamekuwa na wapenzi wengi, wa nalala paka na vijakazi wao(kidini kuna baba wa imani Abraham, Solomon, Mohamed hawa wote wali lala paka na vijakazi)
Ukienda kwenye historia medieval Europe unaona wanaume walikuwa na wake na nyumba ndogo huku kwetu kwenye mila na historia zetu ni hivyo hivyo ila hamna mwanamke mwenye waume wengi.
Kibaiolojia mwanaume ameumbwa kwa procreation zaidi ndo maana anatengeneza mamilioni ya mbegu/sperms kila siku paka kifo chake ila mwanamke anatoa yai mara moja kwa mwez na inakata akifika menopause 40 to 50yrs, Mwanaume hata ukimpa penzi asubuhi akipishana na mwanamke mwenye umbo la mvuto barabarani atapata nyege tena.
Sasa sijui haya mapenz ya kizungu ya kuwa na mwanamke mmoja milele ya kwenye movie tulifundishwa na nani.
Ndo maana ndoa za wazazi wetu zili last cause wanawake wengi walikubali the hard truth that a man will hardly be satisfied with one woman.
Sio kwamba natetea wanaume tuwe vicheche hapana, nasema wanawake muwaze kwa logic na sio kihisia, mwanaume wako akikucheat sio kwamba hakupendi, humrizishi au hakuthamini, jua ameteleza tu, kuto kucheat ni unnatural kwake anajilazimisha mwili wake, roho yake na mawazo yake yote yanamwambia alale na kila mwanamke mzuri anayemuona ila anatumia mental strength kuto fanya hivyo atakapo teleza we msamehe ilimradi anakuheshimu na kujali familia(na hivi ndivyo wa mama walivyoweza kuwalea ndani ya ndoa miaka yote hiyo kwa taarifa yenu.)
Mwanaume aliyekamilika idara zote, mtanashati,mwerevu, jasili, na ana mali ata cheat tu wachache sana labda 5-10% ndo hawatocheat (angalia wanaume wenye mali na nguvu wa sasa na kwenye vitabu vya historia hata vya dini ndio wanaongoza kuwa na wanawake wengi)
Naomba nikurekebishe hapo Ibrahim hakulala na kijakazi kwa sababu ya tamaa, tena alishawishiwa na mkewe ili ajipatie mrithi...huyo Suleiman mnayependa kumtumia mwisho wake mnaujua? Wanaume wasiocheat wapo na asilimia kubwa wanacheat hilo sikatai lakini nachukia pale mtu anapoona kuwa kucheat ni haki yake na anataka na mimi nilijue hilo. Kwanza tunatakiwa tukubaliane kuwa kucheat ni tabia mbaya, inaumiza sio eti mtuambie tukubaliane kwa kuwa ndivyo mlivyoumbwa. Kuteleza kupo tunajua (maana hata sisi pia tunateleza)
 
shida sio mwanaume kuchepuka pia, ni kweli wanaume tunachepuka ila hatuendi na hisia zetu huko wala mapenzi bali ni TAMAA tu, sasa mwanamke akichepuka anaenda na UPENDO na HISIA. akishaenda huko haichukui hata wiki mumewe kugundua maana kahamisha kila kitu. amini nakuambia kama mtu ana mke wake akachepuka baada ya tendo hua hana amani na hua anahisi amekosea sana ambapoa kwa wanawake ni mara chache kua hivyo.

Hiyo ni sababu tuko real

Halafu kuchepuka ni kuchepuka tu..haijalishi hisia na upendo vinahama ama lah
 
Lazima ifike hatua mkubaliane tu kuwa Mambo hayaendi mbele Tena.
Maana ili ndoa idumu lazima mmoja awe mvumilivu kupita kiasi kwa matendo ya mwenzie.
Kukishakuwa na kushindana hamuwezi kudumu.
Ni Bora mkatafuta namna nzuri ya kulea watoto kuliko mwingine akaishia ardhini na mwingine jela.
Ni afadhali hao watoto wakalelewa na mzazi mmoja kuliko kukosa wote
Hapa uko sahihi ni bora ikawa hivyo
 
Mkuu, kwenye ndoa hakuna wakati mtakuwa mna misimamo, tabia sawa.
Ni lazima uamue kukubaliana na mapungufu ya mwenzio kwanza ndio utakuwa na amani.
Ukijikuta upo kwenye ndoa aafu kila siku unavutana na mwenzio Basi bado hamjaelewana.
Lakini tambua pia, kiafrica a man takes the lead of the family.
Suala la michepuko Ni subjective.
Kuna watu hawachepuki lakini ndoa zao Ni ngumu na Zina shida balaa. Kwa hiyo ugomvi wa kwenye ndoa nyingi sio sababu ya michepuko pekee.
Lakini pia msisahau kuwa, wewe unapokuwa na mume Kuna mwenzako kakosa. Na yeye anawinda. Kwenye mawindo yake wapo na waume za watu(off course, ndio preferences kwani wanajua kulea).
Yaap kweli asee
 
dadahivi unapochepuka kweli kutoka moyoni upendo kwa mr. unakuwepo au unaweka pembeni kwa muda?

Kaka mbona hakuna nilikoandika nachepuka...mie sichepukagi,hata sijawahi kwanza
 
Wahenga hawakukosea kusema mshika mawili moja humponyoka tuache kuendekeza zinaa habari ya kusema jinsia fulani wanatamaa tuachane nazo ukishaamua kuoa au kuolewa inabidi michepuko uache ukiendeleza matokeo yake ni mabaya,hii ni kwa sababu mf km ni mwanaume leo umeenda kwa mchepuko umenjunja wee mpaka sijui vingapi unarudi home unalala hoi unakoroma huku mkeo naye ni binadamu pengine anahitaji lkn mzee usingizi mzito maana mauno yako yote mbavu zinauma mwanamke kesho yake atashindwaje kuchepuka?

Upande wa pili nao hivo hivo mke umeenda kwa mchepuko starehe zote na akili yote umehamishia kwa mangi unategemea nini?ndio maana unaambiwa km ni mwanamke au mwanaume unachepuka usitegemee mkeo au mmeo yy katulia naye anakuwa na kamchepuko kake sema tu mnakuwa hamjuani
 
Wanadai eti ukiwa na pesa kumpata mwanamke yeyote unayemtaka ni kama kumsukuma mkevi
Time lkn labda kama unachukuwa malaya wa kulipia, lkn kama ni girlfriend ni lzm uwekeze time, rasilimali kumpata na stress pia nyingine.
 
Silipizi kuchepuka
Nlikuwa nasemea tu
Nilikuwa sikusemi wewe ila akinamama ambao hulipiza kuchepuka. Ati kama wewe unachepuka na mimi nachepuka iwe ngoma droo! Hii ndiyo kisababishi cha mapanga maana kuna wakati mtu unachepuka si kwa kupenda bali wake zetu wanatubania sana. Na hata akikupa kamoja unabaki na hamu. Kama hutaki maugomvi na magumi ndani unachepuka kupunguza kiu ingawa una donge rohoni. Sasa ikija gundulika kuwa anakubania na wakati huo huo anampa jamaa anaitandika kiroho mbaya, hapo mapanga hayaepukiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom