Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,623
Ile ya juu ndiyo sahihi zaidi.
Jumlisha 15±1 kwenye miaka yako.
Haya sasa, gari ukiweka mafuta linakuwa lako?Nikishalipia pango hapo ni almost sawa na kwangu, kama una project yoyote na mwanaume inatakiwa iwe nje ya hapo.
Kwa miaka yako wewe nahisi hata mimi nakuzidi hiyo hiyoWeee!hauwezi kuwa nayo mingi yote hiyo aseee
Nikishalipia pango hapo ni almost sawa na kwangu, kama una project yoyote na mwanaume inatakiwa iwe nje ya hapo.
Haya sasa, gari ukiweka mafuta linakuwa lako?
Kuumwa hiyo inaeleweka, wengine mna makusudi sana. Kiburi hakifai ndio kinawafelisha na kuwa gentle na waume zenu hamuwezi.Kuna kuumwa, kuna family planning nyie yote hayo hamjuagi
Nikilipa pango nahakikisha mwenye nyumba anafahamu kwamba mimi ndiye mlipaji mpaka pale itakapobadilika.
Mind you, kama ni sehemu ulikuwa unaishi tayari hiyo ni issue tofauti.
Mimi nitakuwa gentle babe wala usiwazeKuumwa hiyo inaeleweka, wengine mna makusudi sana. Kiburi hakifai ndio kinawafelisha na kuwa gentle na waume zenu hamuwezi.
Inawezekana inafika na kuzidi![]()
Weee!hauwezi kuwa nayo mingi yote hiyo aseee
Ntafurahi sana mpenzi, kusumbuana kwenye papuchi ndio mara zote kumenifanya nichepuke.Mimi nitakuwa gentle babe wala usiwaze
Hahaha, nimeshazeeka. Humu ndani unakuta tunavimbiana na watoto wetu kibao.
Tunawaelewa tu.
Haha hatari
Haha chaa minne hapana labda mitano au sitaLabda ningekuwa na miaka kumi na kitu ndio ingekuwa hivyo
Kwa haraka haraka umenizidi mitatu hadi minne![]()
Haha sawa'He who pays the piper calls the tune',
i.e The person who provides the money for something decides what will be done, or has a right to decide what will be done.
Kumbe unachepukaNtafurahi sana mpenzi, kusumbuana kwenye papuchi ndio mara zote kumenifanya nichepuke.


Mi hata nikijua wewe mbaba kweli nitaendelea kukuvimbia tu,japo sio mbaba kweli