Umemchoka mwanaume omba talaka

Umemchoka mwanaume omba talaka

Umeandika as if wanaume hawachepuki kabisa

Hebu acha kuegemea upande mmoja basi....wanaume wanachepuka zaidi ya wanawake!

Tena siku hizi ndio wameanza kuona kama ni haki yao kumiliki mchepuko

Hata sisi hatupendi unafki​
Una like zangu zaidi ya kumi mpendwa
 
Hakuna mtu anapenda kunafikiwa mkuu...Muhimu ni kuambiana ukweli na uwazi,.kama unahisi kumchoka mwenzio kiroho safi mwambie baba/mama eee shika fifty zako me naona nitakuumiza hapa bureee...simple.

Maisha ya kimahusiano ni very simple tukiamua wenyewe kuya-simplisha.
Natamani watu wote wange kuwa hivi,
Ila nachojua mwanamke hawez kumuacha mwanaume kabla ya kupata replacement yake labda iwe imetoka ghafla amemfumania otherwise mwanaume ukiachwa ujue kuna njemba amekufanyia substitution tayari.
 
Kirahisi rahisi hivyo ndugu sioo kiivyo komaa naee tu. Mbona zamani wazee wetu waliishi vizuri tu
 
Natamani watu wote wange kuwa hivi,
Ila nachojua mwanamke hawez kumuacha mwanaume kabla ya kupata replacement yake labda iwe imetoka ghafla amemfumania otherwise mwanaume ukiachwa ujue kuna njemba amekufanyia substitution tayari.
Hahah sio wote thano...kuna watu hatupendi kujichosha kabisaa na haya mambo...hatuziwezi bandika bandua,.watu mahusiano yakiisha tunapiga 1yr 2yrs dry kabisaa bila wenge,.na sio kwamba hawapo NO,.we care 'bout our feelings man"
 
Msijali, tunatafuta dawa ya hiyo pia. Soon kibao kitageuka.
 
Umeandika as if wanaume hawachepuki kabisa

Hebu acha kuegemea upande mmoja basi....wanaume wanachepuka zaidi ya wanawake!

Tena siku hizi ndio wameanza kuona kama ni haki yao kumiliki mchepuko

Hata sisi hatupendi unafki​
@joanah
 
Lazima ifike hatua mkubaliane tu kuwa Mambo hayaendi mbele Tena.
Maana ili ndoa idumu lazima mmoja awe mvumilivu kupita kiasi kwa matendo ya mwenzie.
Kukishakuwa na kushindana hamuwezi kudumu.
Ni Bora mkatafuta namna nzuri ya kulea watoto kuliko mwingine akaishia ardhini na mwingine jela.
Ni afadhali hao watoto wakalelewa na mzazi mmoja kuliko kukosa wote
Kwamaana yako ni kwamba mwanamke ndio anapaswa kuwa mvumilivu kupita kiasi si ndio???????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom