Niwape mkasa huu kidogo uliowahi nitokea miaka 4 iliyopita.
Nilikuwa na mahusiano na binti mmoja hapa mtaani kwetu, binti ni mrembo tu, ikafika siku nikala mzigo ila ndiyo mara ya kwanza kunitokea hali ile. Nilimla kama dk 3 tu nikapiz na sikuweza kurudia nae tena kwa siku hiyo, nikadhan labda kwa kuwa ni mara ya kwanza inaweza kuwa imenipata hofu,
Kesho yake ikawa vile vile nikasema hapa kuna tabu mahali, kiuchumi nilikuwa nimeyumba mnoo! Chakula kukipata kwangu ilikuwa ni kwa tabu sana, mara nyingine akawa ananihudumia, namshukuru. Siku moja akaja kwangu nilipopanga majira ya saa 4 hivi asubuh, akanambia hajisikii kwenda kazini, nikamwambia kaa hapo tushinde wote akasema haina neno. Ile nimekaa nae nikawa nataka nile mzigo dem akachomoa, huku na huku nataka nimvue akanitukana we M. S. Enge hebu niache mi nimechubuka huku ndani.
Nilimwangaliaaaaa sikumgusa tena aliponitamkia vile, nikatoka zangu rum nikaenda nje. Huku ndani nikamuacha kalala, alipoamka akaja kuniaga anaondoka kwao, nikamwambia poa, akasepa. Sasa nikuulize wewe rafiki, ungekuwa umejibiwa hivyo ungemfanya nini huyo bibie