Umelazimishwa

Mh Mbuzi mzee magomeni siku hizi wasfi hivi? Nafikiri hii itakuwa kwa Obama au Europe kaka!
 
Ooohh, yes na imestawi kwelikweli. Wateja wakubwa ni nchi za kiaarabu ilikotoka dini ya naniii.
 
Ndio maana Bible inasema 'asiyeukubali ufalme wa mbinguni kama mtoto mdogo, hatauingia kabisa'
 
Unawatafuta polisi eeh watakuja na misifa yao kungoa na kuchoma
 
Hii kitu ina baraka zake,huwa haishindwi kustawi popote pale, inapigwa vita na wale wanaoijua thamani yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…