Umekutana nao paa..Utachagua A au B

Umekutana nao paa..Utachagua A au B

Nikiwa pombe huyo "B" ninaweza kumuona kama ndio nataka kumuanza mimi, ila nikiwa poa,picha ya mke wangu ikinijia wote hawanishawishi.
Ha ha hivi kwanini wanaume wanaogopa kuoa most beautiful women[emoji1] [emoji1]
 
Mkuu mi napga katelelo wote ..maana nlvyo na ugwadu
 
Mmmh! Saafi saana nitamchukua c,unajua hapo kuna kitu nahisi huyo ni mtu mmoja ktk mavazi matatu au style tatu tofauti.
Mi nachagua c sababu vazi la kitenge
 
B,,, inamaana wanaume wote huwa tunaona sawasawa? Au?
 
Kama ni wagombea itabidi nisikilize sera zao! Kukutana nao nakuwa na issue zangu na wao wana za kwao.
 
A
58cf4dff82a5de747b2e219819f811cc.jpg

B
abb5ade58e791c4c18e81cfb3f37d211.jpg


C(Nyongeza)
164898f0c61c64e3a66e09143d5fc190.jpg
Chinese-made phones....

A = Tecno
B = Huawei
C = Xiaomi Mi Note
 
Hata uone Lori kubwa kiasi gani nafasi ya Dereva ni ileile tu.zito Tamu.hahahaha
 
Back
Top Bottom