Mwanapropaganda
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 4,235
- 2,512
Huo ndo ukweli watu wasioujua.[emoji23] Wanawake wa insta hao bila camera 360 ,,hawaaupload picha
Huo ndo ukweli watu wasioujua.[emoji23] Wanawake wa insta hao bila camera 360 ,,hawaaupload picha
Watoto wa kiafrika nyie bana acheni tu!Yaani wamejaaliwa figa ile ya kike kabisa sio kama waasia walio wengi na wazungu!Yaani kwa figa wanatukubali ingawa kimya kimya!Mie bana siku nkikutana nao ndo ntajua nichague yupi[emoji8]
Uoga wako ndo kukosa utamu kwako mkuu!Hawa ni wazuri kwa matumizi ya kawaida ya binadamu ila usijaribu kuoa.
Ngoja niiongeze iwe CVP na hiiView attachment 419231
Mkuu umenifanya nichekeNi kama uulize, Ukiwa umebanwa na Haja Kubwa pamoja na Ushuzi uta-release kipi kwanza.
Hapo A na B vinalika... any of the above. Huo muda wa kuchagua natoa wapi
Na huyu vp mkuu
Ukioa ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi.Uoga wako ndo kukosa utamu kwako mkuu!