Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,468
- 119,622
Yule jamaa ulimfanya vibaya sio mchezo
Kumbe natakiwa kujipangaWewe msichana umejipangaje usipoolewa?




Sawasawa,,tukitaka mali tutazipata shambani 😊Uamuzi Bora kabisa maana jembe halimtupi mkulima mdogo wangu 😁
Kwamba bila kuolewa hakuna maisha? Binti yangu sitamfundisha logic zenu hizi aise
Sawa Mkwe, usimtese tu Mjukuu wangu maana kwa haraka haraka inaonekana U Mbabe, huchelewi kumwambia leo nimechoka kwenye biashara zangu nataka unipikie na unitengee maji ya kuoga 🤪Tunakuombea🌹...acha walime wengine...sisi tutafanya biashara mkwe
Wewe sasa umeandika vizuri, umekosa ndoa pambania walau career ili maisha yaende.Ni kupambana na career ujipate, usikose vyote....
Kama.ananipenda upendo wa agape atanifurahia..full heshima na vile ni charming! Full manjonjo😤Sawa Mkwe, usimtese tu Mjukuu wangu maana kwa haraka haraka inaonekana U Mbabe, huchelewi kumwambia leo nimechoka kwenye biashara zangu nataka unipikie na unitengee maji ya kuoga 🤪
Wewe umelowa au ndo wale waleWewe msichana umejipangaje usipoolewa?
Kikubwa usipumuliwe mkuuAhsante Mwenyezi Mungu kwa kuniumba Mwanaume
🤣🤣🤣🥴Kwani kuolewa ni nini
Tena🤔Kikubwa usipumuliwe mkuu
Ndiyo, wanaume mmebaki wachache sanaTena🤔
Khe weeUna sura ngumu jeuri jeuri kujifanya wewe ni km mwanaume nani atake kukuoa?
Njoo uolewe na mimiKhe wee
Mstari wa pili si kweli niliona zamani trend zinaonyesha Siku hizi wanaume na wanawake wanachagua not to get married, so uchague mwenyewe halafu likukoseshe amani??? Labda kwa wale waliokuwa wanaitaka sana ndoa, Napo ina umri ukifika wakati fulani Una accept fate yakoWewe sasa umeandika vizuri, umekosa ndoa pambania walau career ili maisha yaende.
Ni wachache sana wanaishi bila ndoa na wakawa peaceful..