Umejipangaje usipoolewa?

Umejipangaje usipoolewa?

Nyie ndiyo mnabeba sonona baya sana!!

Kuna binti alijifanya mrembo, mwaka juzi katimiza 40, kajiolesha kwa konda wa school bus aliyekuwa anafuata watoto wake!! (Kajiolesha sababu gharama zote kuanzia mahari mpaka harusi hadi makazi wanayoishi ni ya mwanamke)

Mpaka sasa kajitahidi, mwanaume ana biashara na amebadilika kutoka umtaa mtaa sasa hivi ni gentleman!!
sasa unajiuliza huyu mtu hadi kufika 40 kajitesa hivyo na EGO si bora angeolewa na miaka 30 tu angalau akapewa mtoto.
 
Nina watinzama wanaosema ndoa sio lazima.Jana kulikuwa na kupindi fulani Nat-Geo inayo onyesha jinsi utapeli unavyo fanywa kupitia dating applications na watu kutoka West Africa.Wengi wanao fanyiwa ni vibibi 50+ na kuendelea na wengi wanalamika, walifikia uamuzi wa kujiunga kwenye dating apps sababu ya upweke na wote walio hojiwa wana hela ndefu.

Wale wana wa Ghana wanawapiga hela na tena wanatumia mpaka waganga wa kienyeji, wanachukua picha na jina lake then mganga anafanya yake ili muhusika atoe hela na jamaa wana zikusanya kweli kweli.

Sasa nyie ongeeni maneno ya kishujaa eti "sio lazima kuolewa......." kuna muda utafika na WAHUNI na UPWEKE vitakunyoosha pamoja na hela zako au kiburi chako.
 
Kawaida binadamu maumbile yake na akili kama ni jambo ya kiasili anatambua Automatically
 
Nina watinzama wanaosema ndoa sio lazima.Jana kulikuwa na kupindi fulani Nat-Geo inayo onyesha jinsi utapeli unavyo fanywa kupitia dating applications na watu kutoka West Africa.Wengi wanao fanyiwa ni vibibi 50+ na kuendelea na wengi wanalamika, walifikia uamuzi wa kujiunga kwenye dating apps sababu ya upweke na wote walio hojiwa wana hela ndefu.

Wale wana wa Ghana wanawapiga hela na tena wanatumia mpaka waganga wa kienyeji, wanachukua picha na jina lake then mganga anafanya yake ili muhusika atoe hela na jamaa wana zikusanya kweli kweli.

Sasa nyie ongeeni maneno ya kishujaa eti "sio lazima kuolewa......." kuna muda utafika na WAHUNI na UPWEKE vitakunyoosha pamoja na hela zako au kiburi chako.
Kuna dada nilikuwa naongea nae, actually jua linakuchwa kwake na hajaolewa!!

Nilimwambia afanye mambo yake aachane na mawazo ya ndoa!! Akajibu hujui mateso ninayopitia, nimechukua mpaka watoto wa ndugu pengine watanipa faraja lakini imeshindikana!!

Nae awali hakutilia maanani swala la ndoa, ila linamtesa sana!! Upweke ni ugonjwa mbaya sana na hata hao vibibi ni sababu ya upweke mkuu!!
 
Humu nikiona comment zao naona wanajipa moyo,ndani ya mioyo yao ukweli wanaujua.

Siku hizi kuna wanawake na hela zao,ila kupata ngono wanatumia fedha. Nina jamaa yangu yeye kwenye kampuni niliyokuwa nafanya nae kazi yy alikuwa senior, so mwanzoni alikuwa ananifundisha kazi, ila zile shift za night saa nne au tano anamsha huwaga hamalizi mpaka asubuhi,anaenda kwa nyumba ndogo yake.Hiyo nyumba ndogo yake ni mdada ana hela, kumuhonga jamaa 100-500k mwana ni kitu cha kawaida.

Sasa dada analazimisha ndoa, jamaa alingia kwa gear ya kuoa,akaja kugundua demu alimind sana na ndio ukawa mwisho wa mahusiano yao.

Mimi hapa mwenyewe kuna mwana alitaka kuni unganishiwa demu mmoja ana fanya kazi UN na mwengine Engineer kwenye makampuni haya makubwa ya mawasiliano na wote wanapesa ndefu.Yule wa UN nilimuelewa ila nilikuwa na mahusiano ambayo niliamini yatakuwa ndoa,ila ndio hivyo demu akarudiana na ex wake.
 
Naweza kusema ambae yamemkuta akiwa kwenye ndoa comment yake itakuwa tofauti na ambae hajaingia na wote hao comments zao zitakuwa tofauti na ambae anasikia sikia yaliyopo kwenye ndoa.

Wadada waache tamaa ya pesa na vitu, waoaji sio wale wenye pesa nyingi na sio wale makapuku.

Ukiona man mmoja na status yake ndogo halafu wewe KE uwe na hela usiwe na hela kikubwa kuwa na heahima.
 
Back
Top Bottom