Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,084
- 8,346
Umejuaje au ndio zako?😆😆 utakua hukosi route za bagamoyo,msata kwa kina mshanà ,Tanga! Hahahah..chale had kwenye kissme
Umejuaje au ndio zako?😆😆 utakua hukosi route za bagamoyo,msata kwa kina mshanà ,Tanga! Hahahah..chale had kwenye kissme
Utaoa mtiAh wap
Haukusoma hadithi ya Mali mtazipata shambani 🤪Hanifai...!nna alergy na mambo ya shamba..labda nikimuoa mtupe mtaji😋
Itajulikana hapohapo giza likishaingia😃😃🙌Hakuna Ila sasa Giza likiingia
Tunakuombea🌹...acha walime wengine...sisi tutafanya biashara mkweHaukusoma hadithi ya Mali mtazipata shambani 🤪
Mniombee nipate pension yangu mapema niwape mtaji
Nashangaa ..wafia ndoa...kwani ni lazima?
Basi acha jua liingie tukuone ukiwa Bibi ajuzaItajulikana hapohapo giza likishaingia😃😃🙌
Wewe pia?SIo lazima.
Mie nipoje eti?Wewe pia?
Pambee tu,maisha sio kuolewa nafocus kwenye kutafuta elaWewe msichana umejipangaje usipoolewa?
Hutaki kuolewa?Mie nipoje eti?
Sio kujifariji...ndoa sio ya kila mtu.Unajifariji?
Una sura ngumu jeuri jeuri kujifanya wewe ni km mwanaume nani atake kukuoa?
Nawaza eti nitoke home nimuache mamaHutaki kuolewa?

Yaan hutaki kumuacha mama yako?
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa ndoa sio ya kila mtu si ndio?Una sura ngumu jeuri jeuri kujifanya wewe ni km mwanaume nani atake kukuoa?