Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,861
- 147,214
Watu mpo siriazi[emoji16][emoji16]Una sura ngumu jeuri jeuri kujifanya wewe ni km mwanaume nani atake kukuoa?
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Watu mpo siriazi[emoji16][emoji16]Una sura ngumu jeuri jeuri kujifanya wewe ni km mwanaume nani atake kukuoa?
Ndiyo,maana nampenda sana.Yaan hutaki kumuacha mama yako?
Bado sijakubari nieleweshe tena hapo umemaanisha nini ili ni sabusikiraibuKwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa ndoa sio ya kila mtu si ndio?
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Na Mimi je?Ndiyo,maana nampenda sana.
Siriaz kabisaa😬
Ntaoa
Yaani[emoji846], wanaweza andika hadi laana[emoji23][emoji23][emoji23]
Nampenda mama yangu,nampenda sana sana.hivyo yaani.Na Mimi je?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] laana ya kwenye keyboard impate nani sasaYaani[emoji846], wanaweza andika hadi laana[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Kwa hio unanichomolea waya?Nampenda mama yangu,nampenda sana sana.hivyo yaani.
Sent from my itel W5002 using JamiiForums mobile app
Muandikaji inamrudia,maana anaandika na kujiandikia[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787] laana ya kwenye keyboard impate nani sasa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Mbon umeondoa ile avatar wewe? Ile avatar unamlisha jamaa keki km unampiga singi[emoji1787][emoji1787][emoji1787] laana ya kwenye keyboard impate nani sasa
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app
Ukitaka kuua nyani usimtizame usoni.Kwa hio unanichomolea waya?
Yaan ndio umeshanichomolea?
Ndiyo hivyo tenaaaaaYaan ndio umeshanichomolea?
Inakuletea gundu