Mtoto wa Baba
JF-Expert Member
- Sep 1, 2018
- 3,123
- 4,026
Bila kusahau pombe fulan ina chupa ya kijan kama banana sijui ni kibo inaitwa hahahahahahahahahahNdio mkuu viwanda kama vyote![]()
Bila kusahau pombe fulan ina chupa ya kijan kama banana sijui ni kibo inaitwa hahahahahahahahahahNdio mkuu viwanda kama vyote![]()
Nasubiri mualiko rafiki mpenda nanihiiiMungu anakuona!
Rafiki mimi nimeshaianza xmas yangu,karibu sana!Nasubiri mualiko rafiki mpenda nanihiii


Ahsante rafiki.......
Ahsante rafiki.......
Rafiki nataka hivyo ulivyoweka juu ya chupa za Serengeti



Nakihakikishia sitakuangusha
Vitamu sana



ratiba yako nibalaaaa Walev mnajua mahesabu sabaHAITOSHI AISEE ACHA UONGO
BIA 4 (1500*4=6000)
NUSU KMOTO 5000-5500-6000
HAPO MZEE BABA NI
BALIMI 3 NA KITIMOTO YA 5500
😎Walev mnajua mahesabu saba
duuuh asante kwa sifaa..mana mda mrefu sijasifiwa
Hahaha aiseeile ina radha ya changaaa mkuu made from Rombo
Pole sanaMi hata 100 sina.kesho nitalalaaa
Kweli rtena mkuu..walevi mnajua mahesabu sana, mabadiliko ya bei lazma myajue , Unajua hata buku 10 unapata bia ya aina gan??? Na kitimoto
unafeli sana mkuu nyie mnaukunywa maji ndo mnagongewa kinoma coz dem wako atapenda kwenda viwanja najua ili kumfurahisha utampeleka ila nexttime ukiwa haupo atatukuta sisi.Kweli rtena mkuu..walevi mnajua mahesabu sana, mabadiliko ya bei lazma myajue , Unajua hata buku 10 unapata bia ya aina gan??? Na kitimoto
Mkuuu mimi sinywi pombe + sivuti sigara... Ulevi wangu ni Kunywa maji mengi kila siku !!!
Alafu Kunywen kiafya, Mnaishia kugongewa wake zenu, mnatafuta wachawi?????
unafeli sana mkuu nyie mnaukunywa maji ndo mnagongewa kinoma coz dem wako atapenda kwenda viwanja najua ili kumfurahisha utampeleka ila nexttime ukiwa haupo atatukuta sisi.




mkuuu , unafel hapa...kama unadem mnywa pombe za baani????? Piga chini.