Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 72,149
- 190,639
Karibu my love.Basi nakuja mpenzi
Karibu my love.Basi nakuja mpenzi
Asante loveKaribu my love.
Pole sana mkuu usisahau kutazama na geji ya mafuta usije kuishiwa pozy ukifika toilet na maji kwisha
umesomeka mzeePenzi, rubber na T-shirt tu, then samaki samaki
![]()
![]()
, hivo hivo
Wakikualika njoo unichukueWale wa kusubiri mualiko kama Mimi Haiiiiiiiiii
Njoo NIT haraka tukupatie leseni mkuu, hio ni nguvukazi ya taifa inapotea bure. Kuna malori huku,,,huwezi kuendesha choo namna hio!Wakuu maombi yenu ni muhimu sana aisee toka jana hali ni tete sichezi mbali na toilet yaan naendesha kinoma noma![]()
![]()
![]()
Njoo NIT haraka tukupatie leseni mkuu, hio ni nguvukazi ya taifa inapotea bure. Kuna malori huku,,,huwezi kuendesha choo namna hio!

nipo moshi safari 4 ni 6000 kitimoto nusu 4500 na ndizi za 1000 jumla 11500.Elfu kumi tu mkuu bia 4 na kitimoto nusu uko wapi ?
1500 mkuuBia moja wanauzaje huko kijijini kwenu au utakunywa gongo ?