Kwako wapNjoo mwaya ucomment kwangu
Tukutane kwa mangiMliopo moshi tueni location mapema..moshi pamekucha![]()
K
Kwako wap
sawaKwangu PM
Kwa ninavyo penda Kazi yangu sio mbaya kukusaidia keshoKesho nataman nipate mwanasaikolojia aniweke sawa kimawazo
Hapa mbezi beachKesho tena,mambo yanaanza leo mkuu
Saizi niko China bar naburudika
Umejipangaje mtoko wa kesho ? Utatoka na nani ? Umejiandalia pocket money ya shilingi ngapi?
Binafsi kesho niko tu gheto na mtoto mkali atapika tukimaliza kula tu ndio muda wa kumla mpishi mpaka Morning siku ile ya boxing day,
Itakuwa ni mwendo wa kuamka kunywa maji na kuendelea na game
Cc Zero IQ.
Yes yesHapa mbezi beach
Nimekujaaa mkuiKwa ninavyo penda Kazi yangu sio mbaya kukusaidia kesho
Atakuwa ndotoniElfu kumi tu mkuu bia 4 na kitimoto nusu uko wapi ?
Njoo huku uvae mpenziBado sijapata nguo ya sikukuu
Nitumie nauli ya uber mpenzi. Utanipikia na pilau?Njoo huku uvae mpenzi
Pilau lipo la mwili na kiroho, tani yako tu!Nitumie nauli ya uber mpenzi. Utanipikia na pilau?
Basi nakuja mpenziPilau lipo la mwili na kiroho, tani yako tu!