Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

Umejifunza nini kuhusu orodha hii!

1. Mke wa Mwalimu
2. Mke wa Mkapa
3. Wake wa Mwinyi
4. Mke wa Karume Sr
5. Mke wa Lowassa
6. Mke wa JPM
7. Wake wa Sokoine
8. Mke wa A. Jumbe
9. Mke wa I. Wakili
Mke wa Samuel Sitta, Mke wa Mahiga, Mke wa Dr Mvungi, Mke wa Mafuru, Mke wa Membe, Mke wa Patel, Mke wa Asasi, Mke wa Beno Nduru, Mke wa Balali, orodha ndefu sana.

Jibu ni rahisi sana Dunia Ina jinsia ya kike, Jua , Mwezi vyote jinsia ya kike, Dunia ni Mali ya viumbe na vitu vyenye Majira.

Sisi wengine ni kwa ajili reproduction purpose basi mengine ni bonus
 
Mke wa Sarungi, mke wa Gissima ( Tanesco)
 
Wagane ni wachache kuliko wajane😭😭😭
Iyo list ni ya wazee wa zamani, kwa kipindi chao mwanaume alikua anaoa mke ambae amemzidi miaka mingi kwaiyo hata sequence ya vifo probability ya mwanaume kutangulia inakua kubwa zaidi

Kikwete kamzidi mkewe miaka 13, kwa gap iyo uwezekano wa kikwete kuwa mgane ni mdogo sana, ukilinganisha na uwezekano wa mkewe kuwa mjane.

Miaka inavyoenda iyo sequence itapungua na haitakua ajabu tena mke kutangulia kwa sababu sasa hivi kuna ongezeko kubwa sana la mahusiano/ndoa ambayo mwanaume na mwanamke wamelingana umri, hawajazidiana sana au mwanamke ndie kamzidi mwanaume
 
Back
Top Bottom