Asante
Kuachana nae kumechangia mafanikio yangu mwanzo niliumia sana ila kwa sasa namshukuru mungu
Mimi nashukuru mwezi January nilipata mpenz mwenye mapenzi ya kweli kutoka love connect jf ambae bado tunaendelea na leo hii tunakutana kwa ajili ya kusaka mtoto wetu wa kwanza
Mi kikubwa nlichofanya nimemaliza masomo yangu ya shahada ya uzamili...
2015 nimefikia asilimia 30 tu ya malengo, mambo hayakwenda vile nataka...lakini namshukuru Mungu kwa alichonipa. Naamini kwa uwepo wake na usimamizi wake 2016 nitafanikiwa malengo yangu niliyo yapanga tena. AM VERY POSITIVE ON IT....2016 nitafanikiwa. AMENIII..!!
Daaah asante sana kwa mwanga. Kumbe niko kwenye mwelekeo mzr. Na mimi kodi ni laki tatu na nimelipa miezi sita japo mwenye mjengo anataka mwaka kwa hiyo nkienda kuanza naongeza miezi sita. Na mimi naplan hiyo m10 lkn sitauza vileo. Ubarikiwe sana na Mungu auimarishe huo mradi wako na uwe mkubwa mara dufu.
Nimefanya mengi sana mpaka nashangaa ukuu wa Mungu........siwezi pendelewa hivi.......ila ni kwa Neema tu......
Wow!
Hongera...
Asante sana
Namshukuru Mungu kwa kunifanyia kicheko kwa kila siku. Jambo kubwa nililofanya ni kujifunza kuvumilia na kujaribu bila kukata tamaa. Ila napenda kuwashukuru members wa jf wrote but Malila, Biashara2000 wametisha
Asante mkuu,
Namshukuru Mungu, nimefanya mengi sana kwa msaada wa Mungu na jamii inayonizunguka, naamini 2016 nitafanya zaidi. Uniombee nisimame imara kuitumikia jamii kama 2015 ilivyo. Pamoja tutafanikiwa.
Mwaka bado aujaisha so naweza fanya la maana,Ila paka now cjafanya chochote zaid ya kumtia mimba mke wangu!!
walikuwa bize na lowassa tangu akiwa ccm na wapo naye chadema hicho ndicho kikubwa walichofanyam<script id="gpt-impl-0.5308338459581137" src="http://partner.googleadservices.com/gpt/pubads_impl_78.js"></script>wakibolo;14950685 said:mm namshkuru MUNGU bz nimenunua uwanja mkubwa japo mshahara wangu ni mdogo, pia nimehama kutoka mkoa 1 kwenda mwingne
Like (hakuna kitufe).
Baada ya uzamili, sasa dhamiria uzamivu....