Umefanya nini toka Januari 2015 hadi Disemba?

Umefanya nini toka Januari 2015 hadi Disemba?

2015 nimefikia asilimia 30 tu ya malengo, mambo hayakwenda vile nataka...lakini namshukuru Mungu kwa alichonipa. Naamini kwa uwepo wake na usimamizi wake 2016 nitafanikiwa malengo yangu niliyo yapanga tena. AM VERY POSITIVE ON IT....2016 nitafanikiwa. AMENIII..!!
 
Ok tuingie pm au wazwaz? Tatizo sio mtaji Unatakiwa upate Duka sehemu kwenye mzunguko wa watu mm langu kwa barazan nimeweka soda , maji ,bia kwa ndan nimeweka Nikaweka vitu vya matumiz Ya kawaida Ya Kila cku
Unatakiwa uangalie je kunamzunguko wa watu?

Hata hapa waziwazi ni vzr ili kama kuna mwingine atanufaika pia. Vizuri. Na mimi sehemu ninayotarajia ni nzr. Ipo mjini katikati. Mi nipo Bukoba. Kuna jengo linakamilishwa na nimelipa kodi tayari kuanzia April moja.
 
Ok kamugisha kodi nalipa lak 3 kwa mwezi so nimelipa miez 6 . Mtaji wa bia , maji, juice,soda nimeweka milion 4 vitu vingine pia nimeweka milion 6 ni ndogo ila kwa mwanzo inabidi uanze kidogo kidogo. Mungu ni mwema
 
Daaah asante sana kwa mwanga. Kumbe niko kwenye mwelekeo mzr. Na mimi kodi ni laki tatu na nimelipa miezi sita japo mwenye mjengo anataka mwaka kwa hiyo nkienda kuanza naongeza miezi sita. Na mimi naplan hiyo m10 lkn sitauza vileo. Ubarikiwe sana na Mungu auimarishe huo mradi wako na uwe mkubwa mara dufu.
 
Nimenunua kiwanja nimefungua Duka kubwa la jumla ,nimeachana na boyfriend wangu namwomba mungu aniwezeshe 2016 nijenge nyumba kubwa .

Sema kwenye boyfriend hapoo duuu nipe hiyoo nafasiii nikuonyeshee navoo weza chezaa
 
Ok kamugisha kodi nalipa lak 3 kwa mwezi so nimelipa miez 6 . Mtaji wa bia , maji, juice,soda nimeweka milion 4 vitu vingine pia nimeweka milion 6 ni ndogo ila kwa mwanzo inabidi uanze kidogo kidogo. Mungu ni mwema

Hongera...
 
Nimenunua kiwanja nimefungua Duka kubwa la jumla ,nimeachana na boyfriend wangu namwomba mungu aniwezeshe 2016 nijenge nyumba kubwa .

Blessing in disguise?

Yawezekana kuachana na boyfriend wako kumechangia maendeleo yako haya, au japo mmeachana ndiye aliyechangia

ustawi wako huo...? Nauliza tu.
 
Daaah asante sana kwa mwanga. Kumbe niko kwenye mwelekeo mzr. Na mimi kodi ni laki tatu na nimelipa miezi sita japo mwenye mjengo anataka mwaka kwa hiyo nkienda kuanza naongeza miezi sita. Na mimi naplan hiyo m10 lkn sitauza vileo. Ubarikiwe sana na Mungu auimarishe huo mradi wako na uwe mkubwa mara dufu.

Amen mungu ni mwema.
 
Blessing in disguise?

Yawezekana kuachana na boyfriend wako kumechangia maendeleo yako haya, au japo mmeachana ndiye aliyechangia

ustawi wako huo...? Nauliza tu.

Kuachana nae kumechangia mafanikio yangu mwanzo niliumia sana ila kwa sasa namshukuru mungu
 
Mi kikubwa nlichofanya nimemaliza masomo yangu ya shahada ya uzamili...
 
1. Nimejenga Nyumba.
2. Nimehama kazi kutoka kampuni moja kwenda nyingine.
3.Nimehama Mkoa mmoja kwenda mwingine (baada ya kupata kazi mpya)
4. Nimepata mtoto.

Namshukuru MUNGU kwa yote.
 
Namshukuru mungu,nimehamia kwangu kinyerezi,nimenuna shamba ekari tano mkuranga napanda ufuta,na nimenunua nyumba ambayo naanza kuifanyie finishing mwakani,pia nimeanza kusoma msc.economics evening.THANKS GOD.

hongera
 
Nashukuru kwamba mwanamke niliemtongoza kwa miaka 4 iliyopita alinikubalia mwaka huu, hiyo ndio the biggest accomplishment yangu kwa mwaka huu.

Biggest disappointment yangu kwa mwaka huu ni Lowassa kutokua rais.

Other things remain constant. Haya maisha ukiyakompliketisha unawahi kufa,
 
mie niliugua nusu ya kufa ila mungu kaniweka hai still,uhai/afya kwanza maendeleo/mafanikio baadae(watoto kwanza,wajukuu baadae)
 
mwenzenu sijui Nina Balaa Gani?...Kila Ninachokipanga hakikamiliki, Hivyo Mwaka Naumaliza Kwa Stress tu...yaan Sina Raha Mwenzenu! sina Nyumba, Sina Mke wala GirFrend, Sina Mtoto, Biashara Ndo Upuuzi Mtupu.. Hii biashara imenikosesha Aman Kwa Mwaka Mzima!
Jamani Natamani Haya Yote Yawe Ndoto ili nami niwe na Furaha!
 
lengo la 1 kuwa mnene ila bado sjafanikiwa na mwaka ndo ushaisha duh
 
Back
Top Bottom