Nakumbuka siku ya tarehe ya mwisho na dakika ya 59 kabla ya kuingia mwaka mpya wa 2015, nilisha kata tamaa tangu awali. Niliupokea mwaka nikiwa mwingi wa mawazo na huzuni, hii ni zaidi ya kumbukumbu kwangu, nilikuwa mtu asie kubalika na watu, mpweke na mnyonge, nikiwa na matumaini ya kuuanza mwaka mwingine ovyo ovyo tu kama mingine mingi tu iliyopita, aah la hasha,2015 ni mwaka bora sana katika historia yangu, mwezi wa kwanza tu niliteuliwa nafasi za uongozi mara kumi, yaani kazini, mtaani, kwenye vyama, sijui kanisani, mara kwenye maproject makubwa, muda mwingine usimamizi, watu wamenikubali na kuniamia kupita kiasi. nimepata kazi ambayo ni moja ya ndoto zangu, Ofisi binafsi, ujenzi tena ambao ulishindikana kwa miaka kumi sasa, sasa umekamilika, certificate safi kabisa katika course nilizokua nafeli miaka yote,kufanya kazi na makampuni makubwa niliokuwa nayasikia redion tu, kuweka ahadi kubwa kubwa na viapo vizito, nimenunua set 2 computer new model, kumiliki card nying za benk, Kutimiza ndoto yangu ya kuwa na libraly binafsi ya vitabu, kujua mambo maelfu kuusu watu na ulimwengu wote huu katika app bomba na kivutio kikubwa kwangu JAMIIFORUMS.
all in GOD i truth