Hongera ndugu. Mimi nimefanikiwa kupunguza madeni kwa 70%
Mwaka umeisha haraka sana kabla sijaweza kutimiza malengo yangu niliojiwekea...Anyway wacha nijipange kwa 2016 nione.
Namshukuru mungu,nimehamia kwangu kinyerezi,nimenuna shamba ekari tano mkuranga napanda ufuta,na nimenunua nyumba ambayo naanza kuifanyie finishing mwakani,pia nimeanza kusoma msc.economics evening.THANKS GOD.
safi mkubwa umetisha toka uajiriwe una mda gani hvi?
Hongera ndugu. Mimi nimefanikiwa kupunguza madeni kwa 70%
Namshukuru mungu,nimehamia kwangu kinyerezi,nimenuna shamba ekari tano mkuranga napanda ufuta,na nimenunua nyumba ambayo naanza kuifanyie finishing mwakani,pia nimeanza kusoma msc.economics evening.THANKS GOD.
Mwaka bado aujaisha so naweza fanya la maana,Ila paka now cjafanya chochote zaid ya kumtia mimba mke wangu!!

Hahahahaaaaa almanusra nipaliwe!umri unakwenda huo mzee