Umdhanie ndiye kumbe.....

Judgement

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2011
Posts
10,326
Reaction score
4,789
Hakika huu ni ujumbe rasmi kwako niliyekudhani ndiye kumbe siye! Na wale niliyowadhani siyo kumbe ndiwo!
Na yule niliyemdhani siye, kumbe ndiye!
Najua mlengwa unajijua !
Nevertheless najua huto'comment anything katika hii Sredi but maadamu namie nimetapika nimepunguza nyongo nafsini mwangu.
 
Lazima aje na yeye atapike nyongo lasivyo itamua!
 
Jf bana,mnaanzana humu kwa PM,mnapeana namba za simu,mnakutana,mnaniniliyu,vikiharibika mnarudi jamvini kuchambana,yaani......
 
Ujumbe mzuri sana kwangu huu,wapi beibe nasty
NastyBeibe nnae ubavuni hapa! Nishampa "Cha usiku" yu'hoi hata kufungua mboni hawezi ! Yuko dororo!
Kumbe unamjua? Niko proud kwako wewe kumuelewa! Sasa naendelea kuamini Mamsap wangu she's a celebrity enough ! Wwaooh !
Teh teh teh teh !
 
Last edited by a moderator:
NastyBeibe nnae ubavuni hapa! Nishampa "Cha usiku" yu'hoi hata kufungua mboni hawezi ! Yuko dororo!
Kumbe unamjua? Niko proud kwako wewe kumuelewa! Sasa naendelea kuamini Mamsap wangu she's a celebrity enough ! Wwaooh !
Teh teh teh teh !

Sasa kama uko njema na beibeN then unalalamika nin?
 
NastyBeibe nnae ubavuni hapa! Nishampa "Cha usiku" yu'hoi hata kufungua mboni hawezi ! Yuko dororo!
Kumbe unamjua? Niko proud kwako wewe kumuelewa! Sasa naendelea kuamini Mamsap wangu she's a celebrity enough ! Wwaooh !
Teh teh teh teh !

Aaaaaaw be... Beeib hebu bana mbona bado ipo macho aaaaaaa mihayo hii looh hebu nana achana na mazipompapompa bana yanin muache tuu keshajisoma labda atakua nati moja haipo kwa head hold me hold me hunie mmmmmh achana na masimu baaaana
 
Jf bana,mnaanzana humu kwa PM,mnapeana namba za simu,mnakutana,mnaniniliyu,vikiharibika mnarudi jamvini kuchambana,yaani......

Mkuu !
Hata hili ulisemalo pia huwezakutokea but hapa kilicholengwa kiko tofauti na ulivyokichangia! Relationship si lazima iendane na She & He only !
Refar iko ya same gender also!
 
Shem kwema? Mi napita tu kuwapa hi!
Hee wifi vip mbona kimya ivoo eti mamii nin tatizo au nawe unaona shida kaka mentor hayupo ila naomba ulale bana kuna watu wajifanya polis jamii hapa hawakawii kukupiga kabali
 
NastyBeibe nnae ubavuni hapa! Nishampa "Cha usiku" yu'hoi hata kufungua mboni hawezi ! Yuko dororo!
Kumbe unamjua? Niko proud kwako wewe kumuelewa! Sasa naendelea kuamini Mamsap wangu she's a celebrity enough ! Wwaooh !
Teh teh teh teh !



Ayaaaaaaaaaaaaaaaaaa, Jamatini kishaingia Golo sasa nilikuwa nakusalimia tu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…