Umdhaniae kumbe sie

Umdhaniae kumbe sie

tena waweza ambiwa shikamoo na wazee. cjui wanawaza nini jamani.

I realy don't understand this kabisaaaaa
Utu umepotea ,sisi mama yetu hana tabia hiyo lakin bibi zetu ndio wana tabia hizo
 
haijapotea kabisa hii tabia na ile kitu mtu akienda mjini wengine wanaachiliwa baraka na wengine ni laana kutokana na maneno wanayopewa na wazazi wao.

People should rephrace their msgs after realizing what they said were wrong.

Mimi ni mchaga na nimewahi shuhudia mambo kama haya yakitendeka. unakuta mtoto anaenda mjini mzazi anamwambia utarudi tu hapa huna lolote, jamaa anasota bila mafanikio lakin kwa vile tumefungwa ufahamu hatukumbuki tulinenewa nini na wazazi.

tujitambue na tubadilike.
 
Wazazi wanakosea sana na kuna wengine wana midomo sana ya kukaa wanatoa maneno ya laana tu lakin muda huongea na huwa kinyume chake
 
ni kweli ila ni vzr wajue wanachofanya sio. ila kama mlengwa akigundua mapema na kufuta maneno aliyoambiwa kwa kutumia damu ya Yesu, kwisha habari yake. anakuwa new kama mtoto mdogo.
 
nimesema maana sijatembea sana mamito. nimejisemea niliyoona.

Watu tubadilike.
It's okay kipenzi, me nimejionea kwenye makabila tofauti tofauti

Tubadilike, otherwise muda utatubadilisha
 
It's okay kipenzi, me nimejionea kwenye makabila tofauti tofauti
poa poa my love. hii Jf inatufundisha mengi na hili kwa kweli Mungu atusaidie tujue maneno ya kuwatamkia watoto aka wazazi wote watambue/tutambue.
 
Yeah sure, ni vyema tukawa waangalifu na maneno tunayowatamkia wenzetu. Maneno yana nguvu sana, yanaweza kujenga na kuvunja pia
 
Ndugu zangu hata iweje mzazi lazima ampende mtoto moja kuliko wote ndivyo tulivyo binaadamu hupenda mara moja tu ila tujitahidi tu tusiwaonyeshe watoto tutajenga chuki
 
Mzazi anaemchukia mwanae lazima atakuwa na matatizo ya kisaiklojia hivyo anahitaji msaada kwanza
Familia zetu zina shida Mkuu we acha tu ila si poa kabisa..
Maisha yenyewe haya twaishi mara moja
 
Mpenzi wangu inaumiza kweli, ila hata usijali. Thamani ya mtu sometimes inaonekana asipokuwepo, hata usimuwekee kinyongo kabisaaa. Time ni the best teacher ever. Mungu atakusaidia, utaondoka hapo home utakuwa na kwako, na atabaki kusema "Ninge. ....."
Asante kwa kunitia moyo ubarikiwe kwa sasa natfta kibarua niondke hku mwaka huu nimejpnga kurisiti najua Mungu yu mwema atafuta machozi yangu
 
Wakati mtoto mama zangu wadogo walikuwa wananiambia nina sura mbaya mungu alinikosea kuniumba,wakawa hawataki hata kuishi na mimi nikawa ninaishi na bibi hapo ni baada mama yangu kutangulia mbele za haki,awali wakati mama yupo walikuwa wanang'ang'ania kunibeba sababu mama alikuwa mtumishi na alikuwa anawasaidia sana ...
 
Relax. Mungu atakutendea makuu, waliokudharau watajikuta tu wanakuheshimu wenyeweee
 
Wakati mtoto mama zangu wadogo walikuwa wananiambia nina sura mbaya mungu alinikosea kuniumba,wakawa hawataki hata kuishi na mimi nikawa ninaishi na bibi hapo ni baada mama yangu kutangulia mbele za haki,awali wakati mama yupo walikuwa wanang'ang'ania kunibeba sababu mama alikuwa mtumishi na alikuwa anawasaidia sana ...
Upendo wa kinafiki,,ikawaje sasa umekua wanakutafuta au?
 
Sasa hivi ninategemewa sana na kila tatizo likitokea ni lazima waniite. na kutokana na zile tabia zao za kujiona wao ni matawi ya juu zimewasababishia kuishi kwa shida sana now ,baada ya ndugu wa pembeni kujitenga na kutoshirikiana nao kwa kila kitu.tharau hazifai jamani yatupasa kuishi vema na jamii.
 
Back
Top Bottom