napita tuu hapa nawaangalia BADILI TABIA na Yummy
leo sijui nina hasira sijui nina furaha gfsonwin hebu angalia upande wangu nyota yangu inasemaje leo AshaDii hebu angalia mood yangu ikoje leo maana sweetlady na Remmy wameniudhi sana na Amyner simuoni wala The secretary wala Catherine
subiri kwanza watoto walale maana umbeya wangu ni wa kikubwanipo hapa Mr Rocky, unataka kunipa umbea? Masikio yashanisimama hapa.
Young Master hebu rudisha vile viatu vya watu ulichukua pale kwenye mtumba madai yake unaenda kujaribisha halafu ukapotelea pesa hujalipa wala viatu hurudisshi
subiri kwanza watoto walale maana umbeya wangu ni wa kikubwa
Si unawaona akina Young Master macho juu na hawajakua
Hahaaaaa huu ni ukweli MTUPUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUUU na hii ina apply kote kote.....lol
Tena kama ni mume anakupitia kwa ofisi anakukuta umejaa tele unamsubiri akupitie mrejee wote home,asalale walaiiii raha kwelkwel....na wakati huo unakua mwepesiiiiiiiiii kama karatasi. Safi sana kina mama/dada nawapongeza:A S 41::A S 41::A S 41::clap2::clap2::clap2:kazi na dawa:violin: kudadadeki!
subiri kwanza watoto walale maana umbeya wangu ni wa kikubwa
Si unawaona akina Young Master macho juu na hawajakua
Sipati picha mke mwenzangu kuwa Mama Anne Kilango uwiiiiiii
hubby i have missed u! ndio narydi kutoka kule uliponituma! nimechokaje sasa??
Mhhh mitaaa wenu una nuksi nini makarani wa sensa wanawakimbia
Au mliwakimbiza na mapanga
hiii mishale ya mbali aisee huwa haikosei shabaha.
Jana nimeangalia kwenye TV TBC, Lowasa alikuwa anapinga initiative ya rafiki yake kuhusu kilimo kwanza, anasema yeye anaamini elimu kwanza, kilimo baadae, inawezekana akawa na point, lakini mbona hakuyasema haya alipokuwa serikalinini? make wimbo wa kilimo kwanza JK kauanzisha siku nyingi.
jamani wanaosutwa si wambea bali waongo. hivi unamjua mmbea ni nani? ni mtu yule anayepeleka taarifa kwa mtu pasi kuulizwa na taarifa yenyewe ni ya ukweli.