Sasa usingewaita hao wababa manake watatuzidi umbea hapa. Mi naogopa kusema kitu changu, ila kiukwelileo nina mood ya uchonganishi na nna bastola ya kuazima hapa nilipewa na Bashe. Ntarudi kagiza kakiingia
Sasa usingewaita hao wababa manake watatuzidi umbea hapa. Mi naogopa kusema kitu changu, ila kiukwelileo nina mood ya uchonganishi na nna bastola ya kuazima hapa nilipewa na Bashe. Ntarudi kagiza kakiingia
heeee umejuaje shosti!!! mi pia nna ham ya umbea! c mchezo!!
yan King'asti cjaona ngumi sku nyingi bora tu ugombanishe !! zianzike hapa!!
Hello Chit ChatSasa usingewaita hao wababa manake watatuzidi umbea hapa. Mi naogopa kusema kitu changu, ila kiukwelileo nina mood ya uchonganishi na nna bastola ya kuazima hapa nilipewa na Bashe. Ntarudi kagiza kakiingia
haya ngoja tuwasubiri wana chitchat watupe maumbea tusuuze nyoyo!!mimi je ninavyo utamani lol! utaniweza sasa? yaaani mwaya wee acha tuuuu hapa nilipo key bodi inataka kufutika kwa jinsi nlivokuwa na hamu na umbea. halafu umbea ukinoga zuri lazima ngumi zilike si wajua? sasa miye ntakuwa kijumbe wa kudalisha.
Rais wa Botswana hajaoa.khaaa! sasa raha ya umbea upewe mchana bana tena na mkiwa na mood ya umbea si ya ugomvi atii
MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF), hatimaye amevunja ukimya na kusema yupo tayari kujiunga na Chama Cha Alliance for Democratic Change (ADC), kama chama hicho kitapinga ubinafsi kwa ajili ya maslahi ya taifa.gfsonwin naona anataka kuanzisha gazeti kama la TANMO.
usiogopeeee!!! ntakuekea bodyguard!!gfsonwin, mimi naogopa gossip maana ntakamatwa shati teh teh teh
haya ngoja tuwasubiri wana chitchat watupe maumbea tusuuze nyoyo!!
usiogopeeee!!! ntakuekea bodyguard!!
Nasikia toka Lizzy apotee hapa jamvini Bishanga kawa mpole na ndio hasa nia ya kutulia na mmoja ambae ni The secretary. Nimepata fununu pia kuwa Cantalisia, Mwali, @Obsesed, Smile na Okya walifumwa wakijadili jinsi gani wanaweza kujisajili kikundi cha wadada wa mjini kwa madai kuwa wanataka wawe wana run lile city la Jamii. Hata hivo hilo lengo lao liliingia dosari kwa sababu hawakuwashirikisha dada zao wakubwa kama Zion Daughter, Roulette, FirstLady1, Chauro, WiseLady, Preta, blacki womani BelindaJacob na Keren_Happuch.
Nasikia chama kuu MMU cha Infidel kinakufa kiutendaji baada ya Kaizer kuonekana anaenda kinyume na sheria mama za chama. Hio imefanya Darling shem Asprin akiongozwa na RR, waite kikao cha dharura cha wanachama wachache tu; yaani Kimey, TIMING, Dreamliner, Baba_Enock, Fidel80, Teamo, The Finest, The Boss, klorokwini, Memo, Bigirita, kwa ajili ya hatma ya hicho chama.
Pia toka chama cha wabeba ma box kisajiliwe na Nyani Ngabu hapa jf nimepata tetesi kuwa kimepata wanachama wengi sana (atae hakiki hizi habari nitashukuru sana), wakiwemo jmushi1, BAK, Kiranga, Steve Dii, Mr Rocky majina mengine sijasikia... Ila Mzee Dark City hata hiyana atanipatia tu. lol
Nilitaka kusahau, soon kwa yeyote mwenye sherehe inayohitaji mapambo na maposhi ya cake afrodenzi kafungua kampuni.