Arushaone
Platinum Member
- Mar 31, 2012
- 15,237
- 13,567
Zimefika King Mswati.... Hujambo weye???
Mimi niko pouwer ile kinoumer!
Zimefika King Mswati.... Hujambo weye???
Ngoja shem MzunguMndali afufuke toka kwenye BAN yake aanze kutuotea ndoto hapa!!
MzunguMndali amesharudi, na nadhani ashajua anakoseaga wapi! Sawa Marry Hunbig?
Sore sijakusikia vizuri Marry Hunbig.
karibu mrembo.....lakini kaa mbali na mafedhuliKweli hii ni chit chat
HAHAHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Mbona mimi nilikuwepo pale peackock! Sema kama mgeni mualikwa sio organiser! Nilikuwa namuwinda Kafulila nimpunguze stress za kufukuzwa uanachama NCCR!!!!! Na Mkosamali yuko kwenye rada zangu! Si mnajua tena mie kwa kupenda dogodogo!!!!Nilikuwepo pale nimetulia tuliiii! Nafatilia function! R.I.P Regia Mtema!!!!!!!White Party natinga live bila mimba wala kibendi!!!!!!! Ndo nitakapokusuta LIVE BILA CHENGA!!!!! Kidigitally zaidi!
Kweli hii ni chit chat
No kwani ye sio mwanamke kamili?????????????? :target: