Umbea hadi kwenye ndoto kha!!!!!!

Umbea hadi kwenye ndoto kha!!!!!!

HAHAHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Mbona mimi nilikuwepo pale peackock! Sema kama mgeni mualikwa sio organiser! Nilikuwa namuwinda Kafulila nimpunguze stress za kufukuzwa uanachama NCCR!!!!! Na Mkosamali yuko kwenye rada zangu! Si mnajua tena mie kwa kupenda dogodogo!!!!Nilikuwepo pale nimetulia tuliiii! Nafatilia function! R.I.P Regia Mtema!!!!!!!White Party natinga live bila mimba wala kibendi!!!!!!! Ndo nitakapokusuta LIVE BILA CHENGA!!!!! Kidigitally zaidi!
 
Too bad im out of town... Ningetia timu #whiteparty ... Ningewaagizi members woteee chupa mbili mbila za valuu + kuku wa kukaanga + mbuzi ya kuchoma.... Na kwa kuonesha uwezo zaidi nakuagizia bili yako ukishamaliza.... Alafu mi utanikuta njeee
 
HAHAHAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! Mbona mimi nilikuwepo pale peackock! Sema kama mgeni mualikwa sio organiser! Nilikuwa namuwinda Kafulila nimpunguze stress za kufukuzwa uanachama NCCR!!!!! Na Mkosamali yuko kwenye rada zangu! Si mnajua tena mie kwa kupenda dogodogo!!!!Nilikuwepo pale nimetulia tuliiii! Nafatilia function! R.I.P Regia Mtema!!!!!!!White Party natinga live bila mimba wala kibendi!!!!!!! Ndo nitakapokusuta LIVE BILA CHENGA!!!!! Kidigitally zaidi!

Subutuuuuu yake!!!!!!!!!!!!! Utakuaw tayari ushajifungua make mimba yenyewe ilikuwa kubwaaa karibu kujifunguaaaa lol!!!!!!!

White Party nitatinga kimya kimya nikuchoreeeeeeeee:becky:
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom