Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Au ndo kilevi kishakolea na wewe 😃😃...vipi lakini mrembo wetu mzima😊😂🙈
Rafiki, sina mkia wa mbele wa kuchezea kwa lishangazi kama lile aiseeee......🤣 nani hajipendi kwani nikatolewe kafara huko dipii wolidi....😜
 
Rafiki, sina mkia wa mbele wa kuchezea kwa lishangazi kama lile aiseeee......[emoji1787] nani hajipendi kwani nikatolewe kafara huko dipii wolidi....[emoji12]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaaaaaa! Ngoja apite hapa mi simo
 
Rafiki, sina mkia wa mbele wa kuchezea kwa lishangazi kama lile aiseeee......🤣 nani hajipendi kwani nikatolewe kafara huko dipii wolidi....😜
Aisee 😃😃😃,,,mbona mapema sana hata mwezi mmemaliza kweli 😃🤣🤣🤣🤣🙌
 
Si ulikuwa unatupia mistari wewe na ukasema unamuweza mwenyewe [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikua najua ni saa mbovu, kumbe imeoza kabisa mkuu.... ile saa ni yakutupa kwenye skrepa...🤣
 
Nilikua najua ni saa mbovu, kumbe imeoza kabisa mkuu.... ile saa ni yakutupa kwenye skrepa...[emoji1787]

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Ila ushimen akija hapa mi simo utamwagiwa shombo ushangae oooh!
 
Back
Top Bottom