Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Tutaona kwanza rangi ya mtoto halafu ndo tutajua kama tuwalete weupe au weusi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji85]

Jirani [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sijapentraaaaaa kabisa
 
Kwa sababu watu wakijua hali yako halisi ya ufukara wanakudharau mara milioni, kwakuwa watu hawapendi dharau na heshima hupewa mwenye nacho hivyo watu huamua ukweli ubaki moyoni na uwongo ukae hadharani ili muende sawa.
 
Inaweza ikawa sahihi pia[emoji871]
 
Back
Top Bottom