Chrysanthemum
JF-Expert Member
- Oct 28, 2016
- 1,916
- 6,919
Jamii Forum inaweza kukufanya ujione mbwa aseee, uone umechelewa !! Ndo maana me nikishasoma heading ya mtu nikaona ina mambo ya Kujidai huwa naipita kimya kimya !! Mara nimefanikiwa kumjengea mama yangu nyumba before 25, mwingine nilimiliki mil 50 kabla ya miaka 25 😂😂😂 wakati wewe huku lunch inaliwa katikati ya Siku ili ubalance hadi kesho !!! Na wengi wao huwa hawatoi solution au mbinu ! Hela tunatafuta ila ukianza kujichanganya kufuata mkumbo unaweza hata ukauza Drugs
Hatukatai mnatuinspire ila mkwara umezidi !!
Bora ukae kwenye mada pendwa za mahusiano, watu wanavyochakatana!! Unapunguza stress
Hatukatai mnatuinspire ila mkwara umezidi !!
Bora ukae kwenye mada pendwa za mahusiano, watu wanavyochakatana!! Unapunguza stress