Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Kwangu nakukatalia kama ifuatavyo...

1. Mimi ni Choka Mbaya JF nzima

2. Mimi nipo nipo tu JD nzima

3. Mimi ndiyo mwana JamiiForums pekee niishiye Kiuhalisia

4. Mimi ndiyo mwana nisiye na Ajira ya maana

5. Mimi ndiyo mwana JamiiForums Mshamba na niishie Kijijini kuliko Wote

6. Mimi ndiyo mwana ambaye sijasoma kama walivyosoma wana JamiiForums wote hapa

7. Mimi ndiyo mwana JamiiForums nisiye na Baiskeli, Guta, Pikipiki, Gari na Nyumba kuliko wana JamiiForums wote.

Nasubiri Maua yangu kwa huu Uwazi.
8. Wewe ndio mwana jf unaetukana watu wakikosoa utumbo unaowaletea

9. Wewe ndio mwanajf unaetaka kila unaposafiri ukae seat jirani na pisi

10. Loading...
 
Kwa usivyo na Akili unategemea kweli ukijaa katika 18 zangu nisikupe Dozi zangu Mujarab kabisa?

Hovyooooooo.....!!!!!!
 
Kwangu nakukatalia kama ifuatavyo...

1. Mimi ni Choka Mbaya JF nzima

2. Mimi nipo nipo tu JD nzima

3. Mimi ndiyo mwana JamiiForums pekee niishiye Kiuhalisia

4. Mimi ndiyo mwana nisiye na Ajira ya maana

5. Mimi ndiyo mwana JamiiForums Mshamba na niishie Kijijini kuliko Wote

6. Mimi ndiyo mwana ambaye sijasoma kama walivyosoma wana JamiiForums wote hapa

7. Mimi ndiyo mwana JamiiForums nisiye na Baiskeli, Guta, Pikipiki, Gari na Nyumba kuliko wana JamiiForums wote.

Nasubiri Maua yangu kwa huu Uwazi.
Bora umesema ukweli
 
Back
Top Bottom