Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Umakini unahitajika kwenye hii Mitandao

Kapuku niko hapa sina kitu naokota makopo mtaani napima kwa wanunuaji kama kuna kibarua cha kulima nalima na ninaishi chumba cha giza makapuku tupo sema tunapqmbqna tutoke kimaisha wakuu
Hongera sema hii mitandao inakuza watu, wengine kula yao ni shida ila humu unaweza sema anamiliki vitu
 
Kula mtu tajiri jamii
Kila mtu msomi
Kila mtu kawekeza
Kila mtu anafanya kazi nzuri.
Nauliza hivi nani kapuku huku???
Kwangu nakukatalia kama ifuatavyo...

1. Mimi ni Choka Mbaya JF nzima

2. Mimi nipo nipo tu JD nzima

3. Mimi ndiyo mwana JamiiForums pekee niishiye Kiuhalisia

4. Mimi ndiyo mwana nisiye na Ajira ya maana

5. Mimi ndiyo mwana JamiiForums Mshamba na niishie Kijijini kuliko Wote

6. Mimi ndiyo mwana ambaye sijasoma kama walivyosoma wana JamiiForums wote hapa

7. Mimi ndiyo mwana JamiiForums nisiye na Baiskeli, Guta, Pikipiki, Gari na Nyumba kuliko wana JamiiForums wote.

Nasubiri Maua yangu kwa huu Uwazi.
 
Back
Top Bottom