Umaarufu Tanzania unalipa?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,899
Hivi ukipata kazi ambayo itakufanya uwe maarufu tanzania.
Utaikubali haraka??????
Je kuwa maarufu katika nchi hii kuna faida?
Kama una ndugu yako anataka kufanya shughuli
kama ya muziki au utangazaji wa tv ambayo itamfanya awe
maarufu utamshauri vipi???

Mimi naona umaarufu nchi hii ni kama mkosi....

Yaani ni kuchafuliwa jina tu magazeti ya udaku,
na vipato vyenyewe sioni kama vinaendana na umaarufu wenyewe.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom