farajakwangu
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 1,942
- 701
Habari wanajanvi,
Nina ultrasound model BU-908, kila nijaribu kuprinti inaleta message ya U-disk not ready. Mwanzoni ilikuwa inaprint vizuri tu ,Naomba msaa wenu jamani nimekwama
Ahsanten