Mkwamo wa kiuchumi kuendelea na masomo yangu, msaada tafadhari

Wakibe

Member
Sep 26, 2018
5
45
Wapendwa mimi ni kijana wa miaka 27, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM kitengo cha computer (UCC) Mlimani campus, nikichukua Diploma in ICT muhula wa pili. Ni mzaliwa wa Wilaya Missenyi, Mkoa Kagera.

Nachukua fursa hii kuomba msaada kwenu ndugu kwan nimekwama katika safari yangu ya kutafuta elimu. Ukwamaji wangu umetokana na mfadhiri wangu kutetereka kiuchumi, kwani nimetokea katika familia maskini ambayo aina msaada wa kunipa tofauti na wao kubakia na majonzi baada ya aliyekua msaada kwangu kukwama.

Jamani naomba msaada wenu kwani bado nina mapungufu makubwa katika ada ya chuo pamoja na matumizi binafsi. Nimeripoti chuo alhamisi 11/06/2020 kutokana na matatizo haya. Nimemuelezea course coordinater kanielewa kanipa wiki tatu niwe nimamaliza.

Jamani kwa yeyote mwenye mawazo ata uwezo naomba anisaidie. 0752015710

1592035928938.jpeg
1592035957520.jpeg
 
Wakibe

Member
Sep 26, 2018
5
45
Ndugu wakaribu hali yangu wanaijua...msaada wao ni kidogo mnoo kiuwezo. Mfadhiri ndo halikua kila kitu
 
MalafyaleP

Senior Member
May 23, 2013
180
500
Wapendwa mimi ni kijana wa miaka 27, mwanafunzi wa mwaka wa kwanza UDSM kitengo cha computer (UCC) Mlimani campus, nikichukua Diploma in ICT muhula wa pili. Ni mzaliwa wa Wilaya Missenyi, Mkoa Kagera.

Nachukua fursa hii kuomba msaada kwenu ndugu kwan nimekwama katika safari yangu ya kutafuta elimu. Ukwamaji wangu umetokana na mfadhiri wangu kutetereka kiuchumi, kwani nimetokea katika familia maskini ambayo aina msaada wa kunipa tofauti na wao kubakia na majonzi baada ya aliyekua msaada kwangu kukwama.

Jamani naomba msaada wenu kwani bado nina mapungufu makubwa katika ada ya chuo pamoja na matumizi binafsi. Nimeripoti chuo alhamisi 11/06/2020 kutokana na matatizo haya. Nimemuelezea course coordinater kanielewa kanipa wiki tatu niwe nimamaliza.

Jamani kwa yeyote mwenye mawazo ata uwezo naomba anisaidie. 0752015710

View attachment 1477063 View attachment 1477064
Wasiliana nasi🤝🤝
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom