Mbona huo uchawi mbeya sijawai kuona,uchawi ni pia mkuulakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.
haha umenena kweli nimekaa na wanyakyusa Tukuyu uliyosema ni ukweli mtupu
HahahahaNilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Wachuna ngozi za binadamu wako mbeyaMbona huo uchawi mbeya sijawai kuona,uchawi ni pia mkuu
Ukiamini upo unakuwepo kweli japo haupo..uoga wako unekuponza
Maduka pale yamejaa yawachaga na wakinga wazawa ni machache sanaa
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Wafanye vyote.lakini wakuache salama.wasije wakagusa uchumi.Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Nadhani uchawi wao umeendelea,wanaufata mpaka arabuni,we fikiria mtu anatoka tukuyu mpaka Saudi Arabia au Iraq kusaka uchawiSasa wanyakyusa na kiarabu wapi na wapi?
Wachuna ngozi umewai kuwasikia siku karibuni msimeze mambo..??Wachuna ngozi za binadamu wako mbeya
Waislam mbeya wachache sana, na hao waislamu waliopo wanyakyusa nadhani 0.05%!!!!Usisahau kuna Wanyakyusa wenye Asili ya Kibulushi mkuu....Kama yule jamaa wa Mbarali.
Mkuu kumbe na wewe uko mbeya?Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusa
Haha nasikia dar hasa huko kwenye maduka kuna mambo na soko la kariakoo ndio majanga huko kwenye makorido ndio usipime na mtaa wakongo mazombi kibao ila wenye macho ya rohoni ndio wanayaonaga haya makitu wenzangu na mie tunaona watu kumbe viatu mwanangu kuwa uyaoneNimetembelea mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Kagera (yote), Morogoro, Dar es salaam, Pwani, Rukwa, Katavi, Mbeya (Nyumbani) na Shinyanga. Ila hakuna mikoa yenye uchawi na ushirikina wa wazi kama DAR ES SALAAM NA pwani.
Ingawa kila sehemu uchawi upo ila Mikoa ya Pwani ni wamezidi.
Hapo Tunduma kuna mdau alifungua biashara hapo alikuwa mgeni mbona alinyoosha mikono na kodi akaacha haijaisha kahama na kuhama kabisa.wanyakyusa na wakinga wote wale wale washirikina Mbeya yote i uchawi umetamalaki kuanzia Kyela mpaka Tunduma

kama wewe sio mfanyabiashara huwezi uona huo uchawi....fungua duka hapo Mwanjelwa au Kabwe, Sayi , Soweto ndio utauona uchawi....Mbona huo uchawi mbeya sijawai kuona,uchawi ni pia mkuu
Ukiamini upo unakuwepo kweli japo haupo..uoga wako unekuponza
Maduka pale yamejaa yawachaga na wakinga wazawa ni machache sanaa
Sent from my HUAWEI Y330-U01 using JamiiForums mobile app
Nashangaa sana Mbeya maji yapo lakini wenyeji wachafu hata kuoga shida hawa jamaa sijui wana matatizo gani...Kuna mambo ya ajabu huko sijawahi kuyaona, ukiwakuta Dar wanyakyusa kelele kibao nenda kwao ni aibu, hawajui hata kujisafisha ni uchawi tu
AF hizi sifa za kuita mbeya jiji ni za kiboya sana mji wa kipuuzi sanaHuyo mnafiki ..Mbeya kuna makabila mengi wanafanya biashara Wakinga hata Kariakoo,Mwanza na Arusha wamejaa wewe tu wakuroge?inawezekana huna mtaji Singida sio jiji kama Mbeya lazima uwe na mtaji mkubwa!