laki si pesa.
JF-Expert Member
- Jul 14, 2015
- 9,984
- 9,757
mbeya kuna makanisa kila kona lakini wanaongoza kwa uchawiHakuna watu wa ajabu kama wanyakyusa wanatumia dini kama ngao ya kuficha uchawi, wazee wa makanisa huko mbeya wengi ni wachawi sana, wakimchukia Mchungaji watamfanyia zengwe za kichawi familia yake na watoto mpaka wahame, huko mbeya watu wanaanika unga wa mahindi na mkaa kipande juu ya unga, shame on you
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Hivi yale mambo ya mwakipande bado yapo?Tafuta mkinga wa makete akupeleke mahali utakuja niambia
Kuna siku usiku tulikua tunatoka harusini km saa sita hivi...Nimetembelea mikoa ya Mwanza, Geita, Simiyu, Kagera (yote), Morogoro, Dar es salaam, Pwani, Rukwa, Katavi, Mbeya (Nyumbani) na Shinyanga. Ila hakuna mikoa yenye uchawi na ushirikina wa wazi kama DAR ES SALAAM NA pwani.
Ingawa kila sehemu uchawi upo ila Mikoa ya Pwani ni wamezidi.
Kwendeni zenu huko ndivyo mlivyo mnakuaga na wivu mpaka mnaumwa kasumba tu zinawasumbua.Acha roho mbaya. Mchawi anamjua mchawi mwenzie.. Wee mwenyewe lazma utakuwa mlozi. Utukome wanyakyusa
halafu mnauana kweli kwa ajali ipo siku mtapukutika wote halafu vijana hamuoni aibu?Kwendeni zenu huko ndivyo mlivyo mnakuaga na wivu mpaka mnaumwa kasumba tu zinawasumbua.
Mi nnaishi nao hawa watu nawajua vizuri nilifikiri labda ni mtazamo wangu tu kumbe ndivyo walivyo.halafu mnauana kweli kwa ajali ipo siku mtapukutika wote halafu vijana hamuoni aibu?
vijana wa mbeya wangapi wamekufa ajali?Mi nnaishi nao hawa watu nawajua vizuri nilifikiri labda ni mtazamo wangu tu kumbe ndivyo walivyo.
wakimaliza mabasi wataanza kuangusha bombadier walemsipojirekebisha tunafunga ule uwanja wa ndege wa songwe msije kuangusha ndege zinazotua hapo!
Dah mkuu nilifika kule chunya, sina hamu nako kabisa!Mbeya kumezidi uchawi sana huwezi fanya biashara bila kuwa mshirikina....Nilikuwa na duka Kabwe nikalifunga kwa ajili ya ushirikina wa wanyakyusa
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao) amefanikiwa hapo Mbeya.
Maana kila siku asubuhi mfanyakaz anakuta hiriz na maneno ya kiarabu. Mpaka sasa nimefunga ofs ya Mwanjelwa & Stendi kuu na ya Tunduma naangalia upepo.
WANYAKYUSA punguzen ULOZI mtakufa macho wazi.
Nyani Ngabu kumbe tusi?Mmekomaa tu wachawi, nyie vipi? Maumivu ya investment failure hayo! Pia mnavyobwabwaja ni watu wa karne kabla kabisa ya kuzaliwa kristo yani B. C hamna exposure kabisa na biashara mmekalia majungu,,,, mimi nipo Moshi hapa kuna kipya gani huku mnachotaka kusifia mmejaa wenyewe tu at least Mbeya wanakaribisha wageni, hiyo Tunduma kama nayo imekushinda we tafuta kazi ya house boy itakufaa biashara huwezi nyani ngabu wewe...
Kasi na tibaNarudia, Wanyaki punguzeni kasi. Awamu hii ni ya viwanda si uchawi (ulozi).
Ajabu Dada zako wanawapenda..... Aaaaah. Karibu Mbeya, uchawi acha kwenu.lakini Mbeya kumezidi aisee ushirikina nje nje watu wa mbeya wana roho mbaya kama sura zao.