ULOZI: Mbeya mnafaidikaje?

Apo kwenye unafiki nimeelewa.
 
Unatumia njia gani kupambana nayo!
 
mim nmeish mbeya na n mtu wa mbeya, kiukwel huu mkoa ni hovyo kabsaa, yaan tunatia aibu, nmetembelea majiji meng hapa Tz lkn huwez kuta sifa mbaya na mbovu kama za hapa mbeya, ukwel mchungu lkn wacha uwe ivo tu, mbeya ni kwel uchafu ni mwngii tena kias kikubwa hii inatokana na uwepo wa vumbi jingi mkoni humu na ubovu wa miundombinu hata mijin barabara ni hovyo, pili huu mkoa ama jiji la mbeya ni lawakulima&wafugaj kwa % kubwa, hivy kuwakuta watu wachafu huko mijin ni kawaida, unaweza muona mtu mchafu kwel na ananukia mbolea za samadi, lkn kwenye akaunt ya benk ana mamilion yanayoweza kuwalisha wana jf wote waliokoment hii thread, pia kingine watu wa mbeya n watu waliojitenga sana yan wanaamin vyakwao zaid, mfano wana amini dini haswa naweng wao wameridhika na maisha, hivyo hubaki ktk hali ya unyonge na ufukara sabbu ya dini na mafundisho yakipuuzi toka kwa wachungaji wachumia tumbo, hata yule mwamposa mujue tu kapata nguvu toka mbeya, na yule mwakasege nae wakwetu huku huku na kuhusu uchawi ilo ni kwel kabsa, mm mwenyew nmeshuhudia na mm nmekaa hapa kwa miaka zaid ya 20 mahala nilpokuwa nakaa karbu kila nyumba kuna uchawi ama pana historia ya ushirikina, yaan kila familia ama ukoo una wachawii, na uku vifo vingi husemekana hutokana na uchawi, nakwel kuna mambo ya kutisha sana, huu mkoa unatisha yaan nmepita uko tanga, lkn mbeya asee
nmewanyooshea mikono juu, huku hata biashara nyinga hasa mjin ni uchawi mtupu, lkn ukitaka ufanikiwe mkoa huu, nenda kafanye biashara mahal ambako kuna mitaa mipya yaan namaanisha sehemu zinazoendelea kwa kujengwa ama sehemu zenye mchanganyiko, na sio huku mitaa ya wanambeya kama huko mwanjelwa na mbaliz, huku kutoboa ngum asee,,ukitaka ufanikiwe mbeya kafanye biashara sehemu zenye mchanganyiko wa makabila au wageni ama mitaa mipya inayoendelea kama uyole mpya, iwambi mpya, pia sehemu znazojengwa na serkal na sio sehemu kongwe ambazo wenyeji wamekwisha jimilikisha, huwez toboa,,cha mwisho watu wa huku sura zao nikazii kazii yaan hakuna walemba sura huku wengi wao ni sura nzito za kazi tuuu wapaka poda wachache sana huku,,yaan kumkuta mwanamke mwili wa bondia ni kawaida sana, lkn usimwogope maana wanawake wa mbeya ni wakalimu japo hawako romantic, lkn wana sauti nzuri sanaa tena sana wana saut nzur kulko sura zao na roho zao,nazan mnawaona hata waimba kwaya weng wa mbeya na weng wao ni wakalimu , uku ni rahisi ukakalimiwa na mchawi mshirikina na kigagura tena akakukalimu zaid ya mzaz wako, kumbe anakulia timing akutoe kafara kwa ajari, maana ndyo walichobak nacho kuua tu,,lkn wagen msiogope wameanza kujirekebisha, dawa ya uchawi ni kuupuuza tu...Mkoa huu unakosa maendeleo sababu ya siasa zakibaguzi na upuuzi wa viongozi, huku hata viongoz wa nchi wanaogopa kutembelea sjajua nikwanin, na hata wakija bas inazuka taharuki karbia nchi nzma kuwa kiongoz fulan kaenda mbeya, pia kiongoz mwenyew akikanyaga mbeya huwa na ulinzi mkali sana,,,hivoo yan mbeya ni nchi iliyopo ndani ya nchii, karbuni mbeya, the eden of tanzania......
 
Apo kwenye unafiki nimeelewa.
Hiyo ndiyo rangi uliyokutana nayo. Wengine wanakutana na rangi tofauti tofauti. Inategemea tu uko katika lipi. Unafiki, unafunika yale mengine, lakini kama mende kufunika kifua wakati, salio nje.
 
Mnawaonea watu wa Mbeya sema tu kama wamewagongea wake zenu 😅
 
Mimi ninaxhojua wanawake wa kinyakyusa ni Malaya balaa, ukioa jua umeolea masela mtaani, watakutombea had I ukome. Ukiwa huna ela ndio kabisa, ukiwa huna cheo ndio kabisa
Ila wengi wana wezere sana, aka. chura.....au nasema uwongo.
 
UNAPIMA VIPI UCHAWI KAMA NAWE SI MCHAWI. UCHAWI NI DHANA ZA KUFIKIRIKA TU
 
Usisahau kuna Wanyakyusa wenye Asili ya Kibulushi mkuu....Kama yule jamaa wa Mbarali.
Hoja mfu hakuna maneno ya kiarabu Mbeya bhn hayo mambo kwenu Kilindi huko usituchafulie Zone tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…