Ukweli1
JF-Expert Member
- Nov 19, 2013
- 550
- 333
asante umeongea vyema, tatizo watu wengine hawana maisha yao kutwa kufuatilia ya wengine.Hivi mimi huwa nashangaa....mtu kuandika mistari ya bible kwenye wall yake mwenyewe mtu mwingine anaumia nini?
asante umeongea vyema, tatizo watu wengine hawana maisha yao kutwa kufuatilia ya wengine.Hivi mimi huwa nashangaa....mtu kuandika mistari ya bible kwenye wall yake mwenyewe mtu mwingine anaumia nini?
Nakubaliana na wewe kabisaa, aliyenadhambi ndio anayemwitaji mwokozi, hata Yesu mwenyewe alisema amekuja kwa walio na dhambi.Nashangaa na wewe...! Nini tatizo mtu kuandika kilichoujaza moyo wake? Hata kama anaanguka katika dhambi kila dakika, nani asiyefanya dhambi?
By the way, imani ya mtu ipo kwenye nafsi yake. Wale wanaobeza na kuponda naona ndio wanafiki. Hata hivyo, tunafanya dhambi na inafikia wakati tunabadilika, iwe kwa sababu ya umri, maradhi, matstizo ya dunia, nk.
#totalCrap ..
amen ubarikiwe mkuu.wamekukosea nini wana wa mungu? si kweli kwamba ulokole ni mbaya lahasha ni mzuri sana tena sana. na pia kwenye msafara wa mamba kenge pia wamo. hata kanisani wachawi na wazinzi pia wamo na dini bado zipo. kimsingi uokovu ni wamtu sio wa watu. ikiwa umempokea yesu na kufuata yale neno la mungu lisemalo basi wewe umeokoka tena watenda vema.na ikiwa hutendi sawa na neno la mungu basi wewe ujiesabu ni kupoteza muda2 na wokovu au ulokole utabaki pale pale kwani alie uleta uokovu au ulokole ni yesu mwenyewe. kimsingi na kushauri kama hujampokea yesu kama bwana na mwokozi wa maisha yako ni fursa ya kuokoka ni vema ukawakosoa ukiwa ndani ya uokovu ili ujue ukweli.je wokovu ukoje?
Mrembo by Nature ushapata mchumba au mme?
asante umeongea vyema, tatizo watu wengine hawana maisha yao kutwa kufuatilia ya wengine.
Vipi unataka kunipa kaka yako anioe?
Ni noti ya bandia na cheni ya bandia alishaimba Prof. J. Kwenye bongo dar es salaam. Na ndoo wengi Facebook.
upo single au double mrembo?hahaaa mambo ya kula kuliwa...
upo single au double mrembo?
:wacko::wacko:
kwani umeachika?Single and ready to mingle...
kwani umeachika?
lol ngoja nisukume mkokoteni niwapelekee tango uswahili
Wala sio kufwatilia maisha...wewe km in rafiki yangu was Facebook automatically nikilog in au nikiwa online lazima nione kwenye new feed
nimeona si ndo hivo una maringo nikuambia dada vipi,unasonya huku sehemu za nyuma ukitingisha,haya bhana tesa tu we ngoma ghali
Haleluyaaah....
Kwa wale walioko Mwanza na viunga vyake karibuni kwenye Mkutano wa Mwalimu Mwakasege katika viwanja vya Furahisha kuanzia kesho tarehe 17th aug - 24th aug, 2014...
hao wa bwana asifiwe watoswe sasa na malengo yao kukwama,utaona wanaporomosha matusiYani kila mtu anashusha mistari mpaka inakuwa ngumu kumaliza feeds zote...mi kuna watu nashindwa kujua wameokoka, fashion, au frustration maana ni washikaji na ni watu wa kawaida tu all of a sudden siku hizi kila uchao ni full mistari...isije kuwa wana frustration wanahitaji counselling...maana mistari yenyewe ni ile ya mafumbo mafumbo wanachomoa toka kwenye baibo...
imagine mtu anaandika...'Bwana ndiye mchungaji wangu nimuogope nani'...kuna tofauti gani na ile 'karibu mgeni, utakalolikuta nyumba hii liache humu humu'...au na mimi niamue kuandike 'si kila anayeita bwana bwana atauona ufalme wa mbinguni' hapo itakuwa vipi...mipasho tu...
Maana hata kama ni mahubiri uangalie na audience yenyewe...
nimeona si ndo hivo una maringo nikuambia dada vipi,unasonya huku sehemu za nyuma ukitingisha,haya bhana tesa tu we ngoma ghali
hao wa bwana asifiwe watoswe sasa na malengo yao kukwama,utaona wanaporomosha matusi
amen,sintapungukiwa na utam wakoBwana ndie mchungaji wangu sintopungukiwa na kitu
amen,sintapungukiwa na utam wako