KISIMIRI seccondari iko mkoani Arusha ktk wilaya ya Meru(zamani Arumeru). Kuna umbali kutoka mjini Arusha
Ni shule ya mchanganyiko(co-school) na ina kidato cha 1-6. Kitaaluma iko juu kwani 2011 au 2012 ilikuwa shule ya 3 kitaifa kwa ufaulu. Ni shule ya vipaji maalum,,sio kongwe sana kwa upande wa A level. ilianza na PCM na HKL lkn sijui kama wameongeza michepuo mingine. Nenda kasome kwani ni shule nzuri ya serikali. Unaweza kuanza safari kutokea Arusha mjini au USA-River. Karibu arusha, karibu kisimiri
Hayo ni machache ninayojua kuhusu Kisimiri