uliza swali lolote kuhusu Electronics design na electronics kwa ujumla nikujibu!

Kama sijakosea unamaanisha already full charged battery ndo litumike.
Let say tuna 12V DC tuka converte kwenda 220V AC then Tu create feedback loop ya kucharge tena battery umeme huohuo
Technically, practical analogy ya umeme ni maji.
Nimekuelewa ni Sawa na kua na maji litta 12 kwenye ndo then lita 6 tusongee ugali na kupikia mboga na lita 6 zilizo baki tuzirudishe kwenye ndoo...kumbuka haziwezi kuongeza bado maji yaliyopotea kuosha vyombo and everything..mwisho wa siku lazima ubaki na ZERO Lita ya maji.
Back to technical terms
Inverter itabadili 12 kua 220 AC + losses(ripples) at this time tusukume load that means betri itakua imedrop kiasi flani say 8V na hapohapo tuweke tena rectifier (kama charge controller) ili tubadili AC kwenda DC tui chaji tena betri kwa umeme huohuo 8V uliobaki, here again plus losses(ripples) na bado unatumika (remember AC haiwezi kua stored kwahiyo uwepo wa AC unahitaji betri iwe active otherwise NO electricity)
At this time kwa process zote hizi betri iko 4V DC..itachukua 3rd round Tu betri kua zero na inaweza kufa sababu unaweza kui drain Sana
Kwahiyo standalone betri bila external energy ambayo inaicharge haiwezi hata kushinda siku nzima kamaa load ni kubwa
You must have some external source.
Kama solution ni kuunda hii system YES itafanya kazi lakini itahitaji external source (prime mover) pale betri itakapo fall down.
Hope tuko pamoja mkuu.
Shukran mku
 
Back
Top Bottom