uliza swali lolote kuhusu Electronics design na electronics kwa ujumla nikujibu!

Ikifa ic itakua haiwaki au ikiungua transistor za kwenye power saply pia haitawaka lakini kama inaonyesha picha za rangi tofauti tofauti au picha nusu au mistarimistari pia ni tatizo la kifaa flani hivi ila nimekisahau jia ila vyote hivyo vinatengenezeka mkuu
 
Ktk transformer za tanesco. Huwa naona wameandika ...KVA. hyo KVA inamaanisha nn? (Najua kugoogle)

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo kirefu chake ni kiloVolt-Ampere

Katika power system tuna power kama tatu

1. Apparent power-power ambayo tunakadiria kiasi chake lakini hatuwezi kutumia yote sababu ni LAZIMA ipotee kiasi (technical terms). Symbol yake hua S

S= I*.V unit yake kVA

2. Reactive power-power ambayo ndo inatoka kama sehemu ya S ambayo inafanya kwanini HATUWEZI kutumia S yote.
Symbol yake ni Q
Q= I' .V unit yake ni kVAr
Maanayake ni kiloVolt-Ampere reactive

3. Actual power-baada ya transformer kupokea S hivyo Q hujitenga kutoka S kwahiyo watumiaji wa umeme)wateja, viwanda, mashine(hapa kwenye mashine hata Q hutumika) na umeme wote ambao tunatumia ni actual/real/pure/consumed power
Symbol yake ni P

P=I.V.Cosine(phase angle) unit yake ni kW au kiloWatts
Cosine ya phase angle =power factor P.F

Power factor P.F inamaanisha ni kiasi gani voltage na current vinatengana kwa angle kutoka origin(technical stuff). Hii power factor kwa kawaida hupatikani kwa kufunga capacitor ili ku compansate power iliyopotea ama kupunguza utumiaji mkubwa wa Q kutoka kwenye grid ambao unaweza kuongeza gharama na kiasi cha uzalishaji wa umeme kwenye plant (technical stuff)

Summary:
1. S-kVA
2. Q-kVAr
3. P-kW

Kimahesabu S=P+jQ ama S^2=Q^2+P^2

So katika units form; kVA=kW+jkVAr
j ni complex unit Sawa na i kwenye hesabu, imetumia j kutofautisha na AC current i kwahiyo ingeleta contradiction kwa Electrical/Electronics engineers

kVA-hii ni jumla ya power iliyosafirishwa au pokelewa na transformer (S=IV)
sababu hatuwezi kujua ni kiasi gani power inapotea kwenye transformer kwahiyo katika design ya transformer tunaweka kiasi max cha current na voltage amacho transformer itakua na uwezo nacho bila kuzingatia itapoteza power kiasi gani kwahiyo apparent power P=IV SI unit yake ilitakiwa iwe Watt lakini kwakua hatujui inapoteza kiasi gani cha power unit Tu yake inakua Volt-Ampere. Transformer za tanesco zinabeba volts kubwa mara 1000 amabyo ni 1kilo mfano 11kV, 33kV, 132kV, 220kV etc. Kwahiyo tunaweka kiloVolt-Ampere(kVA) ilikumaanisha volt ya hapo sio ya radio circuit au simple electrons circuit Bali ni ya power system na ni kubwa

NB: k ya hapa kVA ni small letter sio capital letter VA ni nomino wakati k ni kielezi au sifa maana yake VA ni kubwa kiasi gani.

Thanks.
 
Kwamba 200KVA sawa na wats ngap? Au hamna uhusiano hapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
KW=KVA*P.F

P.F=power factor

200kVA hapo ndani yake kuna kW na kVAr in real world application

Theoretically tunaweza kuasume hakuna loss kwenye generator, transformer au transmission lines kwahiyo hapa 200kVA=200kW which is more theoretical haiwezi kutokea in real world

Conclusion
kVA not equal to kW
kVA>>kW in a particular machine or device
 
Ikifa ic itakua haiwaki au ikiungua transistor za kwenye power saply pia haitawaka lakini kama inaonyesha picha za rangi tofauti tofauti au picha nusu au mistarimistari pia ni tatizo la kifaa flani hivi ila nimekisahau jia ila vyote hivyo vinatengenezeka mkuu
Asante Kifaa chenyewe ndio Crt au saa zingine inaweza kuwa virticle
 
Hiyo kirefu chake ni kiloVolt-Ampere

Katika power system tuna power kama tatu

1. Apparent power-power ambayo tunakadiria kiasi chake lakini hatuwezi kutumia yote sababu ni LAZIMA ipotee kiasi (technical terms). Symbol yake hua S

S= I*.V unit yake kVA

2. Reactive power-power ambayo ndo inatoka kama sehemu ya S ambayo inafanya kwanini HATUWEZI kutumia S yote.
Symbol yake ni Q
Q= I' .V unit yake ni kVAr
Maanayake ni kiloVolt-Ampere reactive

3. Actual power-baada ya transformer kupokea S hivyo Q hujitenga kutoka S kwahiyo watumiaji wa umeme)wateja, viwanda, mashine(hapa kwenye mashine hata Q hutumika) na umeme wote ambao tunatumia ni actual/real/pure/consumed power
Symbol yake ni P

P=I.V.Cosine(phase angle) unit yake ni kW au kiloWatts
Cosine ya phase angle =power factor P.F

Power factor P.F inamaanisha ni kiasi gani voltage na current vinatengana kwa angle kutoka origin(technical stuff). Hii power factor kwa kawaida hupatikani kwa kufunga capacitor ili ku compansate power iliyopotea ama kupunguza utumiaji mkubwa wa Q kutoka kwenye grid ambao unaweza kuongeza gharama na kiasi cha uzalishaji wa umeme kwenye plant (technical stuff)

Summary:
1. S-kVA
2. Q-kVAr
3. P-kW

Kimahesabu S=P+jQ ama S^2=Q^2+P^2

So katika units form; kVA=kW+jkVAr
j ni complex unit Sawa na i kwenye hesabu, imetumia j kutofautisha na AC current i kwahiyo ingeleta contradiction kwa Electrical/Electronics engineers

kVA-hii ni jumla ya power iliyosafirishwa au pokelewa na transformer (S=IV)
sababu hatuwezi kujua ni kiasi gani power inapotea kwenye transformer kwahiyo katika design ya transformer tunaweka kiasi max cha current na voltage amacho transformer itakua na uwezo nacho bila kuzingatia itapoteza power kiasi gani kwahiyo apparent power P=IV SI unit yake ilitakiwa iwe Watt lakini kwakua hatujui inapoteza kiasi gani cha power unit Tu yake inakua Volt-Ampere. Transformer za tanesco zinabeba volts kubwa mara 1000 amabyo ni 1kilo mfano 11kV, 33kV, 132kV, 220kV etc. Kwahiyo tunaweka kiloVolt-Ampere(kVA) ilikumaanisha volt ya hapo sio ya radio circuit au simple electrons circuit Bali ni ya power system na ni kubwa

NB: k ya hapa kVA ni small letter sio capital letter VA ni nomino wakati k ni kielezi au sifa maana yake VA ni kubwa kiasi gani.

Thanks.
Asante
 
Ikifa ic itakua haiwaki au ikiungua transistor za kwenye power saply pia haitawaka lakini kama inaonyesha picha za rangi tofauti tofauti au picha nusu au mistarimistari pia ni tatizo la kifaa flani hivi ila nimekisahau jia ila vyote hivyo vinatengenezeka mkuu
Ikionesha mstari ni Either HORIZONTAL IC au VERTICAL IC imeungua, kulingana na mstari ulivyo
 
Naomba kujua kama inafaa kuunda umeme kutoka kwenye chanzo kidogo.
Mfano betr ya 7.5amp uiundie transfoma ambayo itafua umeme mkubwa..... like 220v output and the same time betri ijichaji
 
haiwezekani
 
Inawezekana mkuu

Bila Shaka unamaanisha DC betri yenye uwezo wa ku power load requirement ya 7.5Amperes na kuubadili kua AC ya single phase 220V AC, inawezekana,,,not to be confused with small generation plant also ili current iwe produced inategemea na EMF kubwa kiasi gani..

But nowdays 230V AC ni popular kuliko 220V AC hata tanesco wanatumia 230V AC ingawa iko kwenye range bado 220-240V AC

I answer according to your question:

We can have zero current but not zero EMF vice versa is not true.

First of all, huwezi ku tengeneza nishati au kuiharibu bali kubadili matumizi ya nishati kutoka muundo mmoja kwenda mwingine, law of conservation of energy au first law of thermodynamics

NB: betri inakua rated na charge capacity katika Ampere-Hour (AH) au milliAmpere-Hour(mAh) kwa betri ndogo. Hakuna betri ya 7.5Ampere Bali kuna betri inayoweza kusukuma mzigo wa 7.5A kwa muda fulani sio forever

Mfano betri ya 450Ah maanayake inaweza kutoa 7.5Amperes kwa muda wa saa 1 mfululizo na kuisha hapohapo

Au inaweza kutoa umeme wa 3.75A kwa masaa mawili nakuisha hapohapo

_______________________________

Transformers inachochea au kupooza umeme wa AC.

Unaweza kubadili umeme wa betri labda12/24DC kwa kutumia inverter na kupata AC halafu ukaukuza kwa kutumia transformer mpaka 220V AC Sawa na nyaya mbili service line ya tanesco.

Alternatively unaweza kuunda circuit ya kutoa moja kwa moja toka 12/24DC mpaka 220V AC. Sababu inategemea ba gharama na ugumu wa kuunda na ki insulate circuit yenyewe.

Betri yako inaeza kua inachajiwa kutoka kwenye solar au umeme wa Tanesco wa AC. Ukikatika basi unaweka system yako hii

Kama hutaki kuunda circuit basi kuna already made power modulators

Power modulators ni electrical/electronics device ambazo zinabadili umemee wa DC/AC kutoka kiasi fulani mpakaa umeme wa DC /AC kiasi kingine

Power modulators/converters
1. Rectifier-hubadili AC kwenda DC
2. Inverter -hubadili DC kwenda AC
3. AC chopper(AC-AC converter au AC voltage controller)-hubadili AC kiasi fulani kwenda AC kiasi kingine
5. DC chopper(DC-DC converter)-hubadili DC kiasi fulani kwenda DC kiasi kingine
6. Cyclo-converter-hubadili frequency kiasi fulani kwenda frequency kiasi kingine mfano 60Hz motor kwenda 15Hz motor za treni au 60Hz motor kwenda 400Hz za motor za Aircraft systems

Kazi njema mkuu.
 
Attachments

  • Inverter-output.jpg
    Inverter-output.jpg
    48.1 KB · Views: 18
  • 12v-to-220v-1-768x380.jpg
    12v-to-220v-1-768x380.jpg
    25.3 KB · Views: 19
Mkuu samahani, nipo kwenye mchakato wa kutengeneza incubator (ilikujikwamua maana hali ni tete mtaani). Naomba kuuliza vifaa vyote vinAvyoitajika katika kufanikisha hilo hasa upande wa umeme vinaPatikana wapi na garam zake zipoje???

Nawasilisha
 
Inawezekana mkuu
Bila Shaka unamaanisha DC betri yenye uwezo wa ku power load requirement ya 7.5Amperes na kuubadili kua AC ya single phase 220V AC, inawezekana,,,not to be confused with small generation plant also ili current iwe produced inategemea na EMF kubwa kiasi gani..
But nowdays 230V AC ni popular kuliko 220V AC hata tanesco wanatumia 230V AC ingawa iko kwenye range bado 220-240V AC
I answer according to your question:
We can have zero current but not zero EMF vice versa is not true.
First of all, huwezi ku tengeneza nishati au kuiharibu bali kubadili matumizi ya nishati kutoka muundo mmoja kwenda mwingine, law of conservation of energy au first law of thermodynamics
NB: betri inakua rated na charge capacity katika Ampere-Hour (AH) au milliAmpere-Hour(mAh) kwa betri ndogo. Hakuna betri ya 7.5Ampere Bali kuna betri inayoweza kusukuma mzigo wa 7.5A kwa muda fulani sio forever
Mfano betri ya 450Ah maanayake inaweza kutoa 7.5Amperes kwa muda wa saa 1 mfululizo na kuisha hapohapo
Au inaweza kutoa umeme wa 3.75A kwa masaa mawili nakuisha hapohapo
_______________________________
Transformers inachochea au kupooza umeme wa AC.
Unaweza kubadili umeme wa betri labda12/24DC kwa kutumia inverter na kupata AC halafu ukaukuza kwa kutumia transformer mpaka 220V AC Sawa na nyaya mbili service line ya tanesco.
Alternatively unaweza kuunda circuit ya kutoa moja kwa moja toka 12/24DC mpaka 220V AC. Sababu inategemea ba gharama na ugumu wa kuunda na ki insulate circuit yenyewe.
Betri yako inaeza kua inachajiwa kutoka kwenye solar au umeme wa Tanesco wa AC. Ukikatika basi unaweka system yako hii
Kama hutaki kuunda circuit basi kuna already made power modulators
Power modulators ni electrical/electronics device ambazo zinabadili umemee wa DC/AC kutoka kiasi fulani mpakaa umeme wa DC /AC kiasi kingine
Power modulators/converters
1. Rectifier-hubadili AC kwenda DC
2. Inverter -hubadili DC kwenda AC
3. AC chopper(AC-AC converter au AC voltage controller)-hubadili AC kiasi fulani kwenda AC kiasi kingine
5. DC chopper(DC-DC converter)-hubadili DC kiasi fulani kwenda DC kiasi kingine
6. Cyclo-converter-hubadili frequency kiasi fulani kwenda frequency kiasi kingine mfano 60Hz motor kwenda 15Hz motor za treni au 60Hz motor kwenda 400Hz za motor za Aircraft systems
Kazi njema mkuu.

Ninachohitaji tuunde mfumo wa kuchaji betri yetu while in use.
Sitaki tutumie external resource kwa kuijaza hii betr.

Inverter tutakayounda iwe na kazi 2.

1 kuchange DC TO AC

2 KUGENERATE POWER YA KUCHAJISHA HII BETRI AT THE SAME TIME.

NAJUA ENERGY CAN NOT BE FORMED FROM NORTHING......

Lkn hebu tuangali hesabu zetu kama zitawezekena
 
Kama sijakosea unamaanisha already full charged battery ndo litumike.

Let say tuna 12V DC tuka converte kwenda 220V AC then Tu create feedback loop ya kucharge tena battery umeme huohuo

Technically, practical analogy ya umeme ni maji.

Nimekuelewa ni Sawa na kua na maji litta 12 kwenye ndo then lita 6 tusongee ugali na kupikia mboga na lita 6 zilizo baki tuzirudishe kwenye ndoo...kumbuka haziwezi kuongeza bado maji yaliyopotea kuosha vyombo and everything..mwisho wa siku lazima ubaki na ZERO Lita ya maji.

Back to technical terms

Inverter itabadili 12 kua 220 AC + losses(ripples) at this time tusukume load that means betri itakua imedrop kiasi flani say 8V na hapohapo tuweke tena rectifier (kama charge controller) ili tubadili AC kwenda DC tui chaji tena betri kwa umeme huohuo 8V uliobaki, here again plus losses(ripples) na bado unatumika (remember AC haiwezi kua stored kwahiyo uwepo wa AC unahitaji betri iwe active otherwise NO electricity)

At this time kwa process zote hizi betri iko 4V DC..itachukua 3rd round Tu betri kua zero na inaweza kufa sababu unaweza kui drain Sana

Kwahiyo standalone betri bila external energy ambayo inaicharge haiwezi hata kushinda siku nzima kamaa load ni kubwa

You must have some external source.

Kama solution ni kuunda hii system YES itafanya kazi lakini itahitaji external source (prime mover) pale betri itakapo fall down.

Hope tuko pamoja mkuu.
 
Naomba kujua kama inafaa kuunda umeme kutoka kwenye chanzo kidogo.
Mfano betr ya 7.5amp uiundie transfoma ambayo itafua umeme mkubwa..... like 220v output and the same time betri ijichaji
Kubadili voltage ndogo kuwa kubwa inawezekana, simply ni kupunguza current na kuongeza voltage wakati una maintain power ya chanzo. Lakini haiwezekani kurudisha huo umeme kuchaji battery hiyo hiyo tena.
 
  • Thanks
Reactions: Ok9
Back
Top Bottom