Tiles gani nzuri Kwa ukuta?Nitajibu swali lolote linalohusu ujenzi kasoro neno bei gani. Technical tu
Structure, design and building economic.
Tumia 4/12 (in inches)formula kupata pitch, ukiwa na maana kwamba, kila inchi 12 unazokwenda mlalo (horizontal distance of the building)basi nenda juu inch 4(vertical). Hiyo ndo nyepesi zaidi kwa majengo ya makazi. Lakin pia unaweza kutumia calculator "arctan RISE/RUN afu weka kwenye degrees badala ya radian"...Ila standard ni 30 degree au 7/12. Isisahau kumsikiliza mteja anataka paa la vipi ili umshauri . ..je kanisa utatumia formula gan?. Ndo maana yangu, zipo formula nyingi Ila nyepesi zaidi ni hiyo Ila kutegemea na Aina ya jengo.sory mkuu, naweza kujua namna ya kupata roof pitch kwa lugha rahisi?
ni kitu kinachonipa shida kidogo.
natanguliza shukrani.
Kwa maana ya ubora ya size?. KAZI kubwa ya tiles kwenye ukuta ni kuzuia maji yasipenye. Lakin kaz ya pil ni pambo Tu..tiles zote ni nzur kutegemea na nchi.. Ila cha muhim ni ufundi na namna yakutumia grouts, na spancer kwa umakini, siwezi kukutajiq tiles nzur ila kuna fundi mzuri.Tiles gani nzuri Kwa ukuta?
Ndio ..SWALI NI kujenga nini...la msingi Sana kujenga kwa hatua. Bila pressure, kama kwa mwezi unaweza kupata laki mbili kwa ajiri ya bajet ya kujenga .utafamikisha..Je naweza kujenga?
Kuna Aina nyingi za UFA /CRACK, Na inategemea imeanzia WAPI...kwenye msingi (substructure)au kwenye kuta (superstructure). na ni Aina ipi ya ufa...Ila njia nyepesi kutegemea na na crake lazma uwe na vifaa vifuatavyo,Njia sahihi na bora ya kuziba ufa ni ipi?
Tumia expanded metal utanishukuruNjia sahihi na bora ya kuziba ufa ni ipi?
Hebu ielezee vizuriTumia expanded metal utanishukuru
Labda chooNdio ..SWALI NI kujenga nini...la msingi Sana kujenga kwa hatua. Bila pressure, kama kwa mwezi unaweza kupata laki mbili kwa ajiri ya bajet ya kujenga .utafamikisha..
.tafuta ardh
,Weka msingi WA vyumba 2
,Pandisha chumba KIMOJA
,Paua
,Jenga Choo
,Weka maji
Alafu anzia hapo ...Nina njia 12 za kukujengea nyumba Kwa bajet ya chini kabisa .Ila MTU AKIOUONA hiyo nyumba atadhan umetumia milion 50M Kumbe 15M.kutegemea na location.
Kwa TZ, kibari cha ujenz kinatolewa na ALMASHAURI huska, kwenye IDARA ya ujenz, KAZI kubwa ya IDARA ya ujenzi inayokuwa na watu 2 muhimu ni msanifu majengo (architecture) na mhandisi majengo (structure engineer). cha Kwanza wataomba uonyeshe yafuatayo:Nataka Kujenga Gorofa Moja Kwaajili Ya Makazi Je Ni Utaratibu Upi Niufuate Kbla Ya Kumleta Fundi
Fungus ni matokeo ya :Unashauri nini kwenye nyumba zinazoliwa na magadi (fungus)
Formula itategemea na size ya ukuta, ndo itakupa pia utatumia cement na mchanga kiasi gani..I e. Kama size ya ukuta ni 230mm au 150mmm mortar huwez kuwa sawa..Ila ukinambia size ya chumba naweza kukwambia utatumia tofar ngapi na kadrio la cement... error ni 3% ...Plus labour cost...kwenye uandis Hamna kubatisha bro .Ila uzoefu utakupunguzia muda wa kufanya KAZI..( thumb rule).. uzoefu ulinambia 1sqm unaweza kutumia tofar 12 hivi 230mm, au 8 hivi 150mm. Kumbuka ukuta unapimwa kwa unene sio urefu..huo ni ubora...kama unapima urefu huo ni ujazo..(horizontal size), pia size ya ukuta unaweza kuwa Kati ya 150mmm mpk 400mm kiwango cha juu...kwa code za ACI ,ISO,INDIA nk. Pia kuna Aina 3 za tofar...na itategemea mteja anataka kipi...solid block ..hole block n chipping block....pia kuna na bricks...chipping ni Bora zaidi .ingawa sasa hivi tuko kwenye utafit kuachana na kutumia tofar kwani ni environmental pollution..tunafuta alternative binder km MIHOGO au ash ascs...Kuna formula moja jamaa aliweka ili kujua idadi ya tofali kwenye ukuta. Makadirio ya cement etc.