Uliza swali lolote linalohusu taaluma au nafasi za taaluma (academic positions)

Bado mwanafunzi, nipo mwaka wa tatu, kozi (bachelor of science with education biology and chemistry).

Hizi ni baadhi ya fadhili mbali mbali za graduate positions hapa Tanzania.
Jaribu kupitia hii page, unaweza kupata inayoendana na fani yako.

 
Hizi ni baadhi ya fadhili mbali mbali za graduate positions hapa Tanzania.
Jaribu kupitia hii page, unaweza kupata inayoendana na fani yako.

Nashukuru sana Mungu akubariki
 
PhD candidate
1709840334936.png
 
Shikamoo! Mimi ni fom foo feliya niongee au niulize nini kwa msomi kama wewe! Hapana inabidi kujipanga unapopata nafasi ya kumuuliza swali daktari wa falsafa

Kwanza, kufika Form four tayari ww umesoma kwa ngazi fulan na ni tofauti na yule ambaye hajakwenda shule kabisa.

Pili, mimi bado cjatunukiwa hyo PhD.
 
Je, inawezekana mtu kusoma certiface ya environmental health na baadaye akasoma public health kwa ngazi ya diploma? Ahsante.

Sijajua kwa level ya diploma inakuwaje kwa public health, ila course contents za environmental health zipo kwnye public health, na wengi Environmental health officers wanachukua masters ya public health.

kwa ngazi ya diploma sifahamu, labda kama kuna mtu mwenye uelewa zaidi wa requirements za public health kwa ngazi ya diploma aelezee, ila kwa uelewa wangu naona anaweza kusoma maana hizi fields mbili zinaingiliana.
 
Back
Top Bottom