Tarime one
JF-Expert Member
- Nov 12, 2013
- 2,246
- 1,740
Kwa nini mna makovu sana ya visu na mapanga?
Kichuri ni mchanganyiko wa nini na nini?
Je hakuna kabila linatoitwa wakurya kwa sababu ninyi kila ukoo una lugha yake? Mfano wanaoishi pale Ikoma wanaitwa 'waikoma', wanaoishi pale isenye wanaitwa 'waisenye' na kuendelea hivyo kwa kila kijiji na kufanya neno mkurya kuwa useless ukiw huko
Kuna aina mbili za wakurya kuna wale Wa asili ambao lugha yao ni moja tunawaita wakurya Wa nyanda za juu mfano wairegi,wakira,wanyabasi,watimbaru nyamongo nk,na wapo wakurya Wa nyanda za chini ambao lugha zinafanana ila matamshi tunatofautiana kama wakenye ,wasuba waikoma na wengineo .