Uliza chochote kuhusu wakurya.

Uliza chochote kuhusu wakurya.

Wakurya ni wachafu sana eti ndo mana wajaluo wanawadharau sana hata maji ya kunywa hawanywe kwa wakurya ingawa mnakaa sehemu moja?
 
Eti kijana wa kikurya akifikia umri wa kuoa ni lazima aibe ng'ombe ucku hata km kasoma hadi chuo kikuu ndo ataheshimiwa km kidume?. Elezea unavofahamu.
 
je ni kweli mwanamke mtu mzima anaweza kumuoa mwanamke mwenzie binti mdogo. kama ni kweli naomba ufafanuzi zaidi.
Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa.
cc DEMBA.
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kuwa mwanaume aliyezaliwa na mwanamke asiyekeketwa hana heshima mbeleza wanaume wenzie?? na anajulikana kama "omona wa msaghane??"
Ni kweli kabisa!

je, ni kweli kuwa mkurya hata umwahidi kumpa laki moja hawezi kutamka neno KUFULI badala yake hutamka KUFURI?
Wanasumbuliwa na "R". Wao "L" wanatamka kama "R".

Nikweli mkienda muziki (disco) mnatabia ya kuficha rungu na panga kwenye makoti marefu ( jungle)?
Ni utamaduni wa wakurya kuwa na silaha za jadi muda wote kama ilivyo kwa wamasai.

Wakurya ni wachafu sana eti ndo mana wajaluo wanawadharau sana hata maji ya kunywa hawanywe kwa wakurya ingawa mnakaa sehemu moja?
Hapana! Wakurya wanawadharau wajaluo kwasababu wajaluo hawatahiriwi!

Tabia hii prominent ya kutoa kichapo kw wife imetokea wapy,and unavoona wanaume wa siku iz wakikurya bado wanayo?
Ni utamaduni tu. Bado upo!

Nikweli kwamba mnawivu kwa hawara kuliko mke?
Si kweli!
 
je ni kweli mwanamke mtu mzima anaweza kumuoa mwanamke mwenzie binti mdogo. kama ni kweli naomba ufafanuzi zaidi.

Ndio anaweza oa kwa sababu
Huyo mama aliolewa kwa mumewe na hakubahatika kupata mtoto na mumewe amefariki kwa hiyo yeye ana ng'ombe anaenda kuoa binti kwa niaba ya kijana wake so yule binti atamwita mama mkwe
Kazi ya binti ni kuleta watoto kwa mama mkwe wake na watoto watatumia jina la ukoo la mume wa yule bibi na hao watoto ni mali ya yule mama in case binti ataondoka basi hapaswi kuondoka na watoto

Nadhani umenipata
 
Inasemekana kwamba baadhi ya koo ya wakurya wameacha kuwaoa mabinti wa kiluo kwa sababu wasababisha familia kuongea kijaluo badala ya kikurya. Taja koo za kikurya zilizomezwa na wajaluo na kwnn kikurya kisimeza kijaluo kwasababu wajaluo ni wachache?
 
Kama una suala lolote kuhusu wakurya hasa mapenzi, na maisha mengine kwa ujumla uliza ujibiwe hapa.
cc DEMBA.

Kwanini wakurya wanapenda kula ugali wa muhogo, udaga, ulezi, kwa mboga za majani?

Kwanini mpaka leo hii wakurya wa vijijini, huenda matembezi sokoni siku ya jumapili (yaani wadada na wakaka ndiyo muda wa kutongozana).

Kwanini wakurya wanapenda kutorosha wasichana kabla ya ndoa?

Kwanini wakurya wakikorofishwa tu kidogo utasikia "nengotema" ...(nitakupiga)?

Kwanini wakurya wanapenda wasichana weupe?

Kwanini ukuryani, nyumba isiyo na mtoto wa kike haithaminiwi?
 
Last edited by a moderator:
Inasemekana kwamba baadhi ya koo ya wakurya wameacha kuwaoa mabinti wa kiluo kwa sababu wasababisha familia kuongea kijaluo badala ya kikurya. Taja koo za kikurya zilizomezwa na wajaluo na kwnn kikurya kisimeza kijaluo kwasababu wajaluo ni wachache?

Kwa kawaida wajaluo hupenda sana kuongea lugha yao. Hata wakiwa wawili utasikia tu wanabonga! Utegi, Mtana, Mika kuna wajaluo wengi waliochangamana na wakurya.

Omera ingima? Idhinadhe? Wachmandalo?
 
Ndio anaweza oa kwa sababu

Huyo mama aliolewa kwa mumewe na hakubahatika kupata mtoto na mumewe
amefariki kwa hiyo yeye ana ng'ombe anaenda kuoa binti kwa niaba ya
kijana wake so yule binti atamwita mama mkwe
Kazi ya binti ni kuleta watoto kwa mama mkwe wake na watoto watatumia
jina la ukoo la mume wa yule bibi na hao watoto ni mali ya yule mama in
case binti ataondoka basi hapaswi kuondoka na watoto

Nadhani umenipata

ahsante nimeelewa, swali lingine
je ni kweli huwa mnapenda kulipiza kisasi? na mara nyingi visasi vyenu ni kumkata panga mtu aliyekukosea?
 
ahsante nimeelewa, swali lingine
je ni kweli huwa mnapenda kulipiza kisasi? na mara nyingi visasi vyenu ni kumkata panga mtu aliyekukosea?

Kisasi ni roho ya mtu mfano mimi huwa hatupendi kuonewa, panga ndio silaha ya karibu zaidi
 
ahsante nimeelewa, swali lingine
je ni kweli huwa mnapenda kulipiza kisasi? na mara nyingi visasi vyenu ni kumkata panga mtu aliyekukosea?

Ni kweli ila ni tit for tat sio mgombane leo akuvizie kesho kama wewe huyo mkurya amekusamehe kabisa hatakufanya lolote angelitaka kukudhuru asingelihitaji kikao.
 
Ni kweli ila ni tit for tat sio mgombane leo akuvizie kesho kama wewe huyo mkurya amekusamehe kabisa hatakufanya lolote angelitaka kukudhuru asingelihitaji kikao.

ahsante kwa kuniondoa hofu ya kisasi kutoka kwa my neighbor. nikikumbuka swali lingine litakuja
 
Je ni kweli hakuna wakurya waliosoma?
Naskia wakurya ndo wameshikilia uchumi wa kanda ya ziwa?
 
Akikupenda anataka uzunguke nae kila Sehemu muuze sura,ila wanajua kuhongaa
 
Wakurya ni kabila... katika wakurya pia kuna koo mbalimbali. na hizo ndizo Waireghe,wakenye,watimbaru,wahunyagha,walanchokha,watimbaru n.k
 
Molembe, wairege ni wakurya au ni kabila linalojitegemea?

Hizo ni sub - tribes na sio clan/ koo

Abairegi, abatimbalu, abanyabasi, abakira, abangorimi, abakenye, abasimbiti. Nk Sub tribes zipo nyingi

Wakuria kujuana koo ni ngumu sana sababu majina yanafanana sana tofauti na wanyakyusa au wachagga ukisikia mwambungu unajua mnyaki wa rungwe sio wa wakurya Mwita ni jina la first born ila sometimes Mwita inatumika kama Sirname
 
Back
Top Bottom