Wisest man
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 993
- 332
Hizo ni sub - tribes na sio clan/ koo
Abairegi, abatimbalu, abanyabasi, abakira, abangorimi, abakenye, abasimbiti. Nk Sub tribes zipo nyingi
Wakuria kujuana koo ni ngumu sana sababu majina yanafanana sana tofauti na wanyakyusa au wachagga ukisikia mwambungu unajua mnyaki wa rungwe sio wa wakurya Mwita ni jina la first born ila sometimes Mwita inatumika kama Sirname
Vipi kuhusu wazanaki, je nao ni wakurya?