excel
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 22,434
- 17,862
No, wangu niko ugenini Tanga line
sawa sawa besti... sikukuu njema!
No, wangu niko ugenini Tanga line
ni kweli mkuu. mungurimi hakubali kuwa yeye ni mkurya. matamshi hayafanani kabisa
kwa mfano,
'' mimi ni mungulimi'
' eni nomongoleme neni; but mkurya atasema, ' uni nomokolinde nde' (nadhani nimepatia kwa upande wakurya. correction if needed)
Umeeleza vizuri ila hapo kwenye red nina mashaka ukiwauliza wangoreme wenyewe hawatakubali kuwa wao ni wakurya na hata matamshi ni tofauti sana japo majina ni sawa pia mila zote ni sawa wangoreme wana shabihiana sana na waikoma na waisenye.
Hatuna koo ya wasimbete Bali tuna kabila ambalo ni jamii ya wakurya wanaitwa wasimbiti wako maeneo ya kinesi
Na waikizu na wazanaki unawaweka kundi gani
Wasimbiti ni wakurya japo mna jibagua tu kwani lugha ni ille ile ni matamushi tu tofauti pia majina ni yale yale hakuna sababu ya msingi kukataa kuwa sio wakurya. . . ni bora msuba, mtegi akatae sio mkurya lakini msimbiti, mkweroba, msweta wote ni jamii ya kurya
sawa sawa besti... sikukuu njema!
ni kweli mkuu. mungurimi hakubali kuwa yeye ni mkurya. matamshi hayafanani kabisa
kwa mfano,
'' mimi ni mungulimi'
' eni nomongoleme neni; but mkurya atasema, ' uni nomokolinde nde' (nadhani nimepatia kwa upande wakurya. correction if needed)
wakurya tunasema 'uni numkurya nde ' umukiira