mwanamke akisafiri kwenda sehemu kwa miezi mitatu au zaidi,akirudi anamkuta mme wake kaoa?
Mwanamke asipopigwa na mumewe anahisi hapendwi?
Ni kweli hiko kwenu wanawake wanatolewa Ving'amuzi
Ni kweli kuwa mwanaume aliyezaliwa na mwanamke asiyekeketwa hana heshima mbeleza wanaume wenzie?? na anajulikana kama "omona wa msaghane??"
Nikweli kwamba mnawivu kwa hawara kuliko mke?