konge
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 6,540
- 40,895
Mfano nikawa na mbuzi 50 niahitaji kua na shamba la ukubwa gan?
Wakuu!!!! majibu ya hili swali pls
Mfano nikawa na mbuzi 50 niahitaji kua na shamba la ukubwa gan?
Kwanza kabisa unatakiwa ujue unataka kufuga ktk muundo gani. Kama niwa klufingia ndani au kuchunga. kiuhakika kwa kadiri ya uelewa wangu mdogo ningalishauri uanze na shamba la ukubwa wa heka 20 na zaidi, ujue mbuzi wanazaa mara 2 kwa mwaka sasa ukiwa na majike 40 na madume 10 ktk hao mbuzi 50 ujuwe uzaaji wao kama wana malisho bora na tiba sawasawa lazima waongezeke kwa haraka.Wakuu !!!!majibu ya hili swali pls
Na chaumuhimu sana ni kuangalia jografia ya sehemu unayotaka kufugia.Wakuu !!!!majibu ya hili swali pls
Yaani umeroga weeeee mpaka umechoka huko Ziwa Tanganyika....umeua watu wangapi mpaka hivi sasa?Karibu sana kwa kunimiss muda mrefu sasa nimerudi tena kwa nguvu mpya, hali mpya na Kasi ya ajabu.
Kilimo biashara kwa manufaa ya vijana na taifa kwa ujumla.
Upo sehemu gani Dar? uje kibaha kunakuwaga na mnada wa Mbuzi uwacheki wachinjaji huwa wana chinja kila jumamosi,jumapili na jumatano.Natafuta soko la mbuzi dar yeyote mwenye connection
Sawa mkuuUpo sehemu gani Dar? uje kibaha kunakuwaga na mnada wa Mbuzi uwacheki wachinjaji huwa wana chinja kila jumamosi,jumapili na jumatano.