Uliza chochote kuhusu unenepeshaji mbuzi, kilimo na biashara ujibiwe

Mkuu yupi anakua mbuzi safi kwa ajili ya kunenepesha kati ya aliyehasiwa na ambaye hajahasiwa?
 
Vipi Kigoma panafaa kufuga Mbuzi kibiashara? Na maeneo yapi ya Kigoma ni mazuri kwa mtu anaetaka kufuga Mbuzi wengi?
 
Karibu sana kwa kunimiss muda mrefu sasa nimerudi tena kwa nguvu mpya, hali mpya na Kasi ya ajabu.

Kilimo biashara kwa manufaa ya vijana na taifa kwa ujumla.

Nikifuga mbuzi kwa zero grazing, tangu anazaliwa mpaka anafaa kwa supu, inatakiwa awe na umri gani exactly?
 
Nikifuga mbuzi kwa zero grazing, tangu anazaliwa mpaka anafaa kwa supu, inatakiwa awe na umri gani exactly?
Mbuzi wa kufaa kwa supu Akisha nenepeshwa au kufugwa kwa zero grazinga anafaa awe na miaka 1.3-1.4 au 1.8-1.9 kutegemeana na malisho na afya yake.
 
Mkuu kuna mdogo angu anataka kuanza kufuga kapata aina ya zile mbuzi zinazo zaa mapacha ajawai ata kufuga kaanza na watano ni vitu gani vya kuzingatia mkuu ushauri tafadhari na madawa yapi ya kutumia
 
Mkuu naomba kujua kuhusiana na suala la mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii ni ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
 
Mkuu naomba kujua kuhusiana na mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii hutegemea ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
 
Nini faida ya majani yaliyokauka kwa mbuzi anayenenepeshwa
Majani makavu huwasaidia Mbuzi kuto kupata minyoo ya mara kwa mara kwasababu kwenye majani mabichi huwa yanawapa magonjwa ya matumbo hasa yakiwa machanga, na kwa Mbuzi wa maziwa husaidia maziwa kuwa mazito kuliko majani mabichi.
 
Mkuu naomba kujua kuhusiana na mbuzi kuzaa mapacha na wengine wanafikia hata kuzaa wanne kwa wakati mmoja,je hii hutegemea ukoo wa mbuzi au kuna jinsi unaweza ukawafanya wakazaa hivyo?
Mbuzi kuzaa mapacha au 3 inategemeana na ukoo aliotokea, mara nyingi huwa watu wanataka Mbuzi wanao zaa mapacha lakini kuna baadhi ya wafugaji wasio waaminifu huwapatia wenzao Mbuzi asie zaa mapacha mwisho huyo anaetaka kuanza ufugaji hapati matokeo yanayo stahili.
Nakushauri ukihitaji mbuzi wa mapacha fanya utafiti wa kizazi na kuwaangalia kwa umakini maana kuna baadhi ya vitu vya ambavyo vitakusaidia kumtambua Mbuzi azaae mapacha.
 
Back
Top Bottom