Uliyasikia matusi ya clouds FM jana? Unayakubali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uliyasikia matusi ya clouds FM jana? Unayakubali?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Lunyungu, Nov 29, 2011.

 1. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #1
  Nov 29, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Jana asubuhi kwenye kipindi chao hawa jamaa walimshambulia sana bwana Sugu tena maneno makali na kashfa .Je nawe uliyasikia kama mimi ?Unadhani ule ni uungwana ? Kwa nini watumie muda wa takribani dakika 12 kumsema Sugu pekee na tamasha lake ?Kuna mjuvi hapa atumwagie ?
   
 2. N

  Navoyne JF-Expert Member

  #2
  Nov 29, 2011
  Joined: Dec 12, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  Wewe ndio umesikia hayo matusi labda ungetuelezea walikuwa wanasemaje kwanza ndio tungejua pumba na mchele.
   
 3. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #3
  Nov 29, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mi sijasikia tujuze kwanza clouds niimeapa kutoisikiliza mishoga kibao
   
 4. Linyakalumbi

  Linyakalumbi JF-Expert Member

  #4
  Nov 29, 2011
  Joined: Jul 28, 2011
  Messages: 259
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Ni kwa sababu Walitaka Asiwe M-Bunge AKAWA.Walisahau kwamba Sugu ni Kama Mvua ikiamua kunyesha inanyesha.Nami napenda nisikie hayo maneno,kwetu huwa hatuisikilizi Redio "Ruge".:smash:
   
 5. libent

  libent JF-Expert Member

  #5
  Nov 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2011
  Messages: 385
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  tueleze hayo uliyasikia tutachangia nini wakati hatukusikia maana wengine tumeacha kitambo kuisikiliza hiyo radio
   
 6. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #6
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Vinega 100!
  Sugu ni kama mvua akiamua kunyesha ananyesha!

  Wafu FM mmefulia

  [​IMG]
  Il Gambino.
   
 7. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #7
  Nov 30, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  jamani suguuuuuuuuuu
   
 8. E

  Edwin Chapa Member

  #8
  Nov 30, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 54
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tuambie umeckia nin? Just now via Nokia Tochi
   
 9. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #9
  Nov 30, 2011
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu tujuze maana,binafsi huwa sisikilizi hiyo Radio.
   
 10. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #10
  Nov 30, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,220
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  mada zingine hovyo sana
   
 11. T

  TULIBAHA Member

  #11
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Tujuzee mkuu mi hata sipati kuisikiliza hiyo radio ati.
   
 12. mopaozi

  mopaozi JF-Expert Member

  #12
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 3,290
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  yaa nilisikia wakisema kuwa Sugu ni dume la mbegu
   
 13. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,944
  Trophy Points: 280
  Kwanini kejeli za clouds zinakua regarded as matusi ilihali bwana sugu katoa album nzima ya matusi?...kwanza huu mvutano unatupeleka wapi,kwanini watu tuhamishe tention zetu kwenye mambo yanayomatter na kucocentrate kwa mambo yasiyo na mashiko? why!
   
 14. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  huu uzi wa kiupuuzi sana...unaanzisha kitu halaf unataka utuhangaishe sisi. kama hukusikia si ungekaa kimya kuliko kutwambia eti tuweke matusi ambayo wengine tuliowengi hata hiyo clouds huku haishiki. weka walyosema tuyasome na tuchangie
   
 15. kichomiz

  kichomiz JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 11,990
  Likes Received: 2,649
  Trophy Points: 280
  Ni kwa sababu clouds wanarudisha nyuma maendeleo ya nchi yetu pamoja na wasanii wetu,swali la nyongeza tafadhari?
   
 16. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #16
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Hakuna jipya hapa.Byee
   
 17. Shemzigwa

  Shemzigwa JF-Expert Member

  #17
  Nov 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2007
  Messages: 337
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tumbie wamesemaje hata wengine hiyo radio ndo twaisikia sasa kutoka kwako
   
 18. G

  Godfrey GODI Member

  #18
  Nov 30, 2011
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwisho wa kusikiliza redio mipasho ilikuwa 2007. Hamia rfa, kwa redio mahili na yenye maadili.
   
 19. FairPlayer

  FairPlayer JF-Expert Member

  #19
  Nov 30, 2011
  Joined: Feb 27, 2006
  Messages: 4,166
  Likes Received: 64
  Trophy Points: 145
  Kiss FM kwa uhakika!
   
 20. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #20
  Nov 30, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,406
  Trophy Points: 280
  Hmmm.....mnazungumzia matusi, sio?

  Haya hapa sijui ni nini...kuanzia dakika ya pili

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...